Recent content by FAFI

  1. F

    Zainab Bottlers Zanzibar, nani anaifahamu?

    Samahani kwa mtu anayeijuwa kampuni ya kutengeza maji inaitwa zainab bottlers ltd, Ipo zanzibar sehemu inaitwa mombasa area.Ipo pemba au unguja???
  2. F

    Ajira kiwanda cha viatilifu kibaha

    Samahani wakuu, kuna kiwanda kipya cha viatilifu kipo kibaha.nilisikia kinahitaji watu zaidi ya 150 kwa ajili ya ajira.tulipeleka cv zetu muda mrefu tangu mwanzoni mwa mwaka huu,sasa sijui walishaita interview???na hiki kiwanda kimeshaanza kazi??
  3. F

    Kuitwa kwenye Usaili, TBS kumekucha

    Wametoa kada chache ila leo ndio wameanza kutoa kada chache chache
  4. F

    Kuitwa kwenye Usaili, TBS kumekucha

    MAJINA YA USAILI TBS AJIRA ZILIZOTOLEWA TAREHE 25 NAY 2015 HAYA HAPA FUNGUA http://www.tbs.go.tz/images/uploads/TANGAZO_LA_KUITWA_KWENYE_USAILI_-_TOVUTI_sept_2015.pdf
  5. F

    Tbs tbs tbs tbs tbs

    Hivi TBS mtatoa majina ya usaili 2020????????
  6. F

    TBS vipi mbona hivyo?

    TBS wapumbavu sana na CCM hawapiti mbwai mbwai tu
  7. F

    TBS vipi mbona hivyo?

    Jamani siku zinazidi kwenda na TBS wamekaa kimyaa, Hivi hakuna mwenye tetesi yoyote?? au lile tangazo la kazi ilikuwa sikukuu ya wajinga??
  8. F

    Usaili Utumishi tangazo la 22 August 2015

    Ukiangalia majina ya usaili ya utumishi yaliyotoka tar 22 mwezi huu na tangazo la ajira la mwezi JUne utagundua kuna Kada zingine hazipo na watu wengi tumeshtushwa na kutoona kada fulani tulizoziomba.Jana nimepiga simu Utumishi kwa namba hii 0784398259.NIMEJIBIWA KUWA KUNA KADA AMBAZO BADO...
  9. F

    Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma: Agost 22, 2015

    mbona post niliyoapply mimi ya research engineer haipo???
  10. F

    Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma: Agost 22, 2015

    Asanteni wakuu ngoja nisubiri tu pengine hiyo position walitangaza kazi halafu wameamua kuitoa isiwepo
  11. F

    Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma: Agost 22, 2015

    Unajua tumeapply wengi sasa wangetoa majina ya interiview position ya research engineer ningejua nipo au sipo katika shortlisted.Lakini wao wametia kapuni kimyaa
  12. F

    Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma: Agost 22, 2015

    Samahanini waheshimiwa, mimi niliapply online TEMDO kupitia utumishi mwezi JUNE 2015 position ya RESEARCH ENGINEER.Leo tar 22 august 2015 utumishi wametoa majina ya usaili nimepitia nashangaa position zote zina watu kwa ajili ya usaili isipokuwa hiyo position yangu niliyoomba ya RESEARCH...
  13. F

    Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma: Agost 22, 2015

    Samahani wadau, mbona mimi niliomba TEMDO position ya research engineer lakini cha ajabu kwenye majina yao haya hiyo position haipo kabisa
  14. F

    Tiba ya maumivu ya kifua

    Hata mimi kifua kinasumbua sana hasa usiku, hewa navuta kwa taabu halafu kinauma kwa ndani.Sijui tatizo huwa nini
  15. F

    Updates usaili TBS!

    TBS huwa wanatoa majina ktk website yao tu huwa hawapigi simu, mimi sijaona majina na kila siku huwa nafungua
Back
Top Bottom