Recent content by fadhili muhala

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Bhasi hayo hayakuhusu. Badili Jina sasa.mana hilo linawakilish watu wa upinde
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Hizi ndio ngonjera, haya mwerevu jibu ww ni mu Israel au
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Wewe ni mu Israel? Mana hv vitu usemavyo viliandikw kwa ajili yao
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Jibu kitoto
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Sasa ndugu je ww ni muhabu au mbabeli?? Mana kitabu hiki kiliandikw kwa ajili yao! Rejea 1wafalme 20:1 afu nambie tena je ni sawa
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Ni kweli washairi walituliza sana kichwa, kama wale wa wimbo ulio bora, au malenga wapya
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Like yesu ni server ya wa waibrania, Wote wawil walikua mastaa ktk movie na adui yao kuu mmoja uku aliitw shetan huku akaitw sheitwan au ibilis
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Naomb mstari wowote ukionesha nuhu alifanya Sala?? Na kama alifanya alifanya kwa mungu gani? Je kweny safina ya nuhu nyoka alikuepo kweli? Kama alikuepo kwanini uyo mungu alitka ambebe nyoka muovu?? Unadhan kulikua na sababu gani mungu kuangamiza kizazi kilichoishi wakati wa nuhu, ikiw source...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Usinipuuze labda kama ungepend tupuuze pia uliyoyasema apo awali kua ni hekaya tuu?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Maneno ya Daudi sio Sala, je unaeza kutumia maneno ya mtu mwingine aliyoyasema akiwa na matakwa yake kuyaita Sala?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Hakuna utakatifu katika tungo za Daudi, ni ngonjera kama za joka la mdimu tu
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Kwaio tunakubali kua aliyoyaandika ni maneno yake binafsi kwa utashi na matakwa yake
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Labani alikua mdanganyifu tuu. Kama aliwez kudangany kitu kile, je kwann asidanganye vingine pia. Na hakuna Mahali Laban alisema alikosea
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Daudi alikua nabii au mfalme?? Sitak kujiongeza nataka nipate facts, kujiongeza ni kutu
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Daudi alikua nabii au mfalme?? Sitak kujiongeza nataka nipate facts, kujiongeza ni kutumia utashi
Back
Top Bottom