Recent content by facebobo

  1. facebobo

    JamiiForums Tanzania Msaada /naomba kazi

    Habari jamani ndugu zangu.. Nimekuja kwenu leo naomba msaada wa kazi nipo Arusha. Elimu yangu ni kidato cha 4 tu. Sina fani yoyote niliosomea. Mimi kazi yoyote nafanya sichagui. Naishi na mke pia ni mjamzito wa kujifungua Leo au kesho. Yaani kiukweli akili yangu imevurugika sana. Umri wangu...
  2. facebobo

    JamiiForums Tanzania Program gani ya Editing

    Waungwana naomba kuuliza eti Ni program gani naweza kuichukua play store ambayo inaedit picha na kuweka kama kiwingu kwa nyuma. Kwa mfano picha hii
  3. facebobo

    JamiiForums Tanzania Salary slip yangu haioneshi deni langu kukatwa, Je nikope benki nyingine

    Wakuu Nina tatizo kidogo kisheria nahitaji msaada pi
Back
Top Bottom