Recent content by fabiolatuzorumisha

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake tupeni jibu ....

    Okey
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni

    Naomba mnipokeeeeee[emoji122]
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wapendwa na mimi nina langu jambo nahitaji kushauriwa

    Eheeeeee,sasa umenihudhunisha,nakushsuri ,umweleze ukweli mchumba wako,uone atasemaje,ogopa kumzalisha bint wa watu et utalea,wakat unamfuata ulijua unamtu mwngine,pengine yey ndye mkeo,kingine moyo wako unampenda nani?je dada yako akifanyiwa hivyo utafanyeje? Au mwanao?fikiri kabla ya kutenda...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nampenda ila hanitaki hata kunisikia

    Okey,kagundua unampenda,hebu,achana nae Fanya yako,usimuwaze,na ukienda kwa mganga dawa zikiisha utajuta,kama kiatu si saizi yako cha nn kukinunua,?hebu songa mbele ,usijejuta badae,muombe Mungu juu ya hilo uweze kumsahau akilin mwako na uwe n aman
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hataki kuolewa na mimi msaada tafadhari

    Hakuwa wako,tafuta mwingine,inaonekana unadharau ndo mana pia hakutaki,ndoa ina Ofa?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ananipenda lakini ananinyima unyumba

    Mh,namshauri aendelee kubana hivyo hivyo,kama unampenda kwa dhati,muoe uone kama hatakupa.na nikwa nn unataka kuzini nae kwanza?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Am happily married but feeling so lonely inside

    Angekuwa unampenda kiukweli,asingekuoa,kwan wewe humkumbukagi ex wako?tulia muimbe Mungu akupe amani ya moyo juu ya hili wazo,kwani unaweza kuivunja ndoa yako dada,pole
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake tupeni jibu ....

    Hapana,huyo alikuwa unampenda ndo maana akamkubali,mm siwezi kukubali kuwa ukigandwa sana unaamua kukubali,lkn hatuwezi jua moyo wa MTU,mwngine anaamin kuwa akin'gan'ganiwa sanaa ndo anapendwa basi anakubali,kiukweli,ktk hilo ni wawili hao ndo wanaujua ukwel ktk kukubaliana kwao ilikuaje.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wapendwa na mimi nina langu jambo nahitaji kushauriwa

    Mh,kama unampenda,nendeni kwa wazazi mkaseme mloyafanya ufuate taratibu n sheria za kwao muoane,kama alifaulu akishazaa n kulea mwanenu mpeleke chuo ndoto zake zitimie
  10. F

    JamiiForums Tanzania Dawa za kuongeza urefu

    Mshukuru Mungu kwa namna alivyokuumba,IPO sababu ya wewe kuwa hvyo uonavyo kuwa n kasoro kwako
Back
Top Bottom