Recent content by fabi

  1. F

    Mengi akava jarida la Fobres Africa la July 2014

    aaah baadhi ya watz wana wivu wa kimasikini wanataka tajiri awe mwarabu mzungu au Singasinga.Hongera mzee Mengi mtanzania wakwelikweli waokubali achana nao.
  2. F

    CCM nchi imewashinda hebu jionee Dar city centre

    Nchi hii utafikiri tumerogwa, uchafu kuanzia barabara ya Lumumba mpaka Kariakoo yote utafikiri hakuna wahusika au viongozi,tumezoea maneno matupu utendaji sifuri. Meya Slaa ajione kuwa hafai na viongonzi wenzake kuongoza Manispaa uchafu huu ni kielelezo chauongozi wao.
  3. F

    Kwako rais Kikwete

    Mawazo yako ni kweli lakini ata aliyetoa maoni haja kosea ,kwani wakati hivyo vyuo vinakamilika elimu itakuwa imeboreshwa kwahiyo wanachuo watapatikana wazuri.Pili ingawa wengine wanabeza hizi shule wajue kuwa zina wabadilisha kiupeo watoto wengi jiulize kwanini siku hizi kupata dada wa kazi ni...
  4. F

    OCD Makete na PP KOMBA wametema 300,000/= za rushwa walizoramba kutoka kwa mteja.

    Wasio mjua Mungu ndio wanaompakazia, ocd yeye ni mtu wa Mungu watu wote kati ya Police wachache waamifu yeye ni mmoja wapo na anasimamia haki wasio taka haki ndio hao wanampakazia naomba aendelee na msimamo wake wa kazi Mungu ambaye anamtumainia atakuwa upande wake daima
  5. F

    Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

    F.Kaiza:nivema akatumia busara katika hotuba yake hekima ni jambo jema kuliko kituchochote si amesikia hotuba ya JK
Back
Top Bottom