Mkuu unataka ku2shawsh kuwa joyce kiria yupo negatv daily? Pia alozungumzia suala la elimu yake swal n je wasomi wa tz c ndio wale waua nch hii, eb mcihesab makoxa 2 mpongezen pia kwa kaz kubwa na nzur afanyayo...
Januar afkie tym ajielewe yan pesa alzochuma zote hazitosh ad aingie kwny urais aendeleze ukoo wa mapanya, yan tz we dont av any presidential materials,mungu a2nuxuru na hawa mafisad wa ccm na cdm.
Xo unataka kuendeleza siasa za matambara???.et benderab ad skaf!! Kama we n wakgoma unamchukia zzk unataka ku2shawsh na cc au? Ok mi n wa arusha na namkubal xana zzk, coz he iz a prphet of the 2ru GOD na n mtetez wa wa tz though n mxaliti wa mbowe!!!!!
Unajua nyerere was a geneous neva seen b4 and afta! Alishaona mbali kuwa atasumbuka sana na suala la wakmbz 4rom znz 2 tanganyka kama ulivyo mzgo wa wakmbz 4rom congo,rwanda, burund and xo, xo alchokfanya n muunganko wanch mbl ili iwe rahc kulnda mipaka, kama mnavojua waznZ ardh yenu ina mafuta...
Ivi kuna chama kisichoweza kukoxolewa!? Kumbe raha yenu ilkuwa kuona zzk akkoxa support eh? Kwa taarifa yenu cku hz wa tz weng hawadanganyk kirahc, kngne cdm mbona huwa mnaikoxoa ccm katka utendaj wake n kwel kuwa huwa hamna cha kufanya kwenye chama chenu? Afu kumbe inaonekana cdm ipo kwa maslah...
Cha kwanza labda hajulkan kama zzk, cha pl ukwel wa sababu zlzoxababsha avuliwe uanachama, huwez kufanansha msiba wa sharomilionea na wa michael jacson, nadhan umeelewa y zzk nat .....
Mkuu unauwezo mzur xana wa kuchambua mambo kama ril gret thnkers wafanyavyo, kwa upande wangu suala lnaloniuz xana n kucikia 2naambiwa kama mnamuonea huruma zzk c mumchukue muanzshe chama chenu au ahamie ccm! Hapa nagundua kuwa kisiasa kuna wa2 wanamwogopa zzk huko cdm dats y wana2mia vgezo butu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.