Recent content by F2023

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

    haikuwa ya cheche na timu yake ile ni wazungu jordan riber na baba yake john riber
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

    hatupewi nafasi kk wanaopewa ndo hao wanatoa rushwa na ngono ukija kufatilia utakuta hadi ushoga upo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

    isike kaona yeye hawamuweki muda mrefu maana tamthiliya zake zinaisha wenzake isidingo tuu yy anaenda tamthiliya ya nne wenzake badoo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

    waproducers ndo wana hali ngumu sio waigizaji
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

    yule jamaa hapendi umaarafu na hapendi interview sijui yupo wapi
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

    unaongea nini wewe wema alishawai kunja hadi million kumi kwa filamu mmoja
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

    ACHA UONGO WEWE WEMA HAJAWAI KUIGIZA KWENYE HUBA
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Iringa wageuka Kuzimu kwa matukio ya Watoto kubakwa na kulawitiwa

    wanaokamatwa wanachukuliwa hatua ? na watoto waliobakwa wanasaidiwaje (kisaikolojia )
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hivi V8 ya Ray Kigosi aliyomjibu marehemu Kanumba bado ipo?

    HIzo village pastor, oprah, red valentine ,family tears sio muvi za kanumba aliigiza tu akalipwa ni muvi za mtitu zote labda hiyo moses
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi Hakuna mwanaume asie na mtoto (singer father)

    kila mtu ana,malengo yake bro mimi 25 plus na sina mtoto kuna malengo yangu yanahitaji yatimie sio kuzaa kama wanyama
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

    asingekuwa msomi angefika hata hiyo first year kwenye chuo kikubwa
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

    nikusahihishe hapo umekosea mtayarishaji au muongozaji filamu hizi ni taaluma pia ndugu unakosea kuiweka pamoja na wapaka rangi za miguu wakati filamu ipo hadi vyuo vikuu kama UDSM ,UDOM wanatoa degree na hadi vyuo vingine vya diploma kama TASUBA na kingine kiko posta hivyo hii sio kazi ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam

    hamna fadhila wewe uwanja unakodiwa wanalipwa
Back
Top Bottom