Recent content by F183

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kusoma Kidato cha 5 na 6 kwa mwaka mmoja

    Habari wakuu Mimi ni muajiliwa nipo mkoa wa dar es salaam naitaji kusoma advance mwaka mmoja Naomba mnisaidie kwa lolote mawazo yenu, mbinu , na wapi sehemu gani niende niweze kutimiza lengo langu hilo. Nitawashukuru sana kwa msaada wenu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya ugonjwa wa ngozi

    nitashukuru mkuu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya ugonjwa wa ngozi

    asante sana
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya ugonjwa wa ngozi

    bochi.labnisia.parestina n a moyo safi
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya ugonjwa wa ngozi

    asante sana
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nina matatizo kwenye ngozi , naomba kujua dawa nimehangaika hospitali nyingi

    Wana JF habari za Jumapili. Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya nimetumia kila aina ya dawa hospital nimejaribu kubadisha hospitali tofauti tofauti lakini sipati nafuu. Najikuna sana viwiko na shingoni mapaka ngozi inatoka...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya ugonjwa wa ngozi

    WanaJF habari za Jumapili. Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu. Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya kutembelea bei 1.7m kushuka chini isiwe boxer ama tvs

    bei 1.7m kushuka chini isiwe boxer ama tvs Whasap 0682271470
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mapenzi

    Asant
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mapenzi

    Asany
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mapenzi

    Nimepima sina
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mapenzi

    Coment ako inanionyesha uhalisia wako jinsi ulivyo sjui ni kutofikiri na kutafakari najua akili unayo ila nimeomba msaada uwezi kumjib mt ivyo. Asante sana leo kwangu kesho kwako
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mapenzi

    Asante
Back
Top Bottom