Acha ujinga..... Hakuna MD aliyenyimwa mkopo since 2015. Usidanganye.
.. Chukulia mfano prof. Msambichaka principal wa MUST mbeya... Kozi nzima ya mwaka wa mwisho walifeli isipokuwa dada mmoja tu, lakini hakustuka... Iweje ww principal tena wa medical University, akufate ety ww ni best student...
Ni kweli, hakuna repeat semester kwa Mds, ila kuna carries.... Huyo sio MD ni muongo.... Hata ushauri hatakiwi kupewa maana kajitungia mambo.... Kama vipi mpe mbususu, yaan principal aongeee na mwanafunzi? Kwa kipi yaan ulichonacho
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Mwingine analinda nchi cdf, Mwingine analinda serikali, nchi haipinduliwi, inavamiwa, serikali ndio inapinduliwa, mwenye nchi ndio mkubwaa, jitahidi uwe na adabu basi, serikali ikishindwa majukumu, basi mwenye nchi anaomba mkae pembeni mjipange, kazi ya jeshi ni kulinda katiba kwa niaba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.