Waloma Kilimo na Ufugaji.
Hawa jamaa huwa wanatoa Elim na ushauri kwa Elf 25 nadhani.
Wapo Ubungo njia panda ya chuo na Makongo ndipo Shamba darasa lilipo.
Mkurugenzi wao Anaitwa George Sanga.
Niinbox nkutumie mawasiliano yao au
Unaweza watafuta Insta pia kujiridhisha.
Unaweza ukanipatia connection na wataalam wa kuandaa Greenhouse ya Robo heka kwa Tsh 4,000,000/= ?
Nna wasi nawe kuna tafiti hujafanya vzr kujua gharama za Greenhouse.
Ushanipa chama tayari mara hii?
(Any way)
Hivi ulifatilia lakini na kuona ni kwa kiasi gani wazungu walikua wanaichukia serikali ya kipindi kile?
Na kama jibu ni ndio, vipi ulijua sababu ni nn haswa?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nilikuwa nafatilia kwa umakini zaidi Comment za watu hum baada ya post yako.
Kuna idadi kubwa ya watu wanaokupinga na kukushambulia kwa Lugha chafu,
Ila cha ajabu kati yao wote sijaona hata mmoja aliejibu kwa hoja juu ya swala la udhaifu wa Lisu kujiegemeza kwa wazungu.
(Hali ya kua wote...
Unatetea wanaopinga uwepo wa Mungu?
Kama ndivyo basi hufai kuskilizwa.
Na hii mada ni bora iishe na tubaki na SMO ya Mrusi huko Ukraine.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Uwezo wako wa mapokeo ni tatizo.
Simtetei ila napinga mnavyoshindwa kutofautisha dini na uwepo wa Mungu.
Tena haswa kwa ile kauli yako uliyodai anapinga uwepo wa Mungu.
Kuna mahali alikwambia haamini kama Mungu yupo?
(Kama kaonyesha hivyo basi ni wa kumkemea bila kuacha kwasababu anafanya...
Mbona umechanganya madawa?
Mwanzo hakuwa na dini, sawa hilo limeeleweka.
Je alionyesha kutoamini uwepo wa Mungu?
Baada ya kuraruriwa alikumbuka na kuonyesha dini ipi?
Au alionyesha tu imani yake juu ya uwepo wa Mungu?
Naona mnachanganya mambo hapo, maswala ya dini na uwepo wa Mungu.
Sent...
Sidhani kama umeelewa ulichokiandika na kilichoandikwa na mwenzio.
Kwani kakwambia haamini kama Mungu yupo?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tujiandae kwa safari za moja kwa moja kutoka Dar es salaam mpaka Moscow.
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/magazines/sound-living/travel-russia-and-tanzania-to-establish-direct-flights-4223170
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
[emoji1] kuwaelewa ni kazi sana hawa viumbe.
Ndomana wadau humu wanasema hawa washirika wa West wana fikra za ulimwengu wao ambao mwanadam wa kawaida huwezi waelewa.
Sijui wamepigwa limbwata la aina gani aloo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.