Ni muhimu kujua profile kama hizo wakati mwingine huwa zinasaidia, tabia za magari linaweza kukulaza polini kwa kitu kidogo sana.
Anakuja fundi anagusa tu gari inaondoka.
Isuzu Bighorn engine zake ni very complex kumaintain hasa hii diesel 4JX1 motor
Hii engine ni commonrail lakini ni tofauti na commonrail za kawaida tunazozijua.
Utofauti upo kwenye high pressure pump na commonrail system kama ifuatavyo.
(1)4jx1 high pressure pump ina press oil kuingia
Kwenye...
Cha kusikitisha hata njia muhimu sana ya kuelekea International Airport, reception ya Taifa inajengwa njia 4, tena finyu likitangulua roli huwezi kuliovertake!!! Hakuna vituo vya daladala, inasikitisha sana, viongozi wetu wana matatizo makubwa sana.ukiangalia njia kuelea Airport nafasi kubwa...
Kwa nini inachemsha?
Uspanic,angalia vitu vifuatavyo
1) Je thermostat ni nzima? kwa maana inafunguka
na kufunga katika joto linalokubalika?na pia
angalia radiator fen iko poa?
Thermostat inaweza sababisha kuchemka
engine kama itakuwa ime stuck close position.
fungua hiyo thermostat ichunguze...
We jamaa unafurahisha sana, yaani U S A unaifananisha na Iran ? kweli ? Level ya Iran ni sawa na Iraq.
Safari hii Iran akijichanganya ataingia kwenye 18 za USA, labda aombe msaada kwa Russia.
Safari hii atachezea Tomahawk za kutosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.