Recent content by ezze

  1. E

    JamiiForums Tanzania Makala, Raia Mwema. Ukweli ni Mmoja tu na Haubadiliki: CCM ya Magufuli ni CCM ya Mabadiliko!

    Mnawezaje kuleta mabadiliko ikiwa mfumo wa cha ni uleule kama mnavyotuimbia kwenye nyimbo zenu za kampeni... "ccm ni ile ile ooooh ni ile ile..." Serikali ya awamu ya 4 ya ccm JK alijaribu kuvunja baraza la mawazir zaidi ya mara 3 akitegemea kubadilisha mfumo wa serikali yake. Lakini mfumo wa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Wameona conference ya kwanza haikuzaa matunda ndo Itakua hii! Tushampuuza huyo mzee, atakula pesa ya ccm na Lowasa ataingia white house, tushaamua.. Yes.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini: Madhambi machafu kabisa ya Magufuli yawekwa wazi

    Unashangaa taarifa ya upande mmoja, mbona ya Dr. Slaa hukuishangaa?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Asante mkuu Ntuzu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nami ni wa imani hii wajameni
  6. E

    JamiiForums Tanzania Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

    Kwahiyo wasiomdiss ni wale aliowakaza?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

    Kwahiyo wasiomdiss ni wale aliowakaza?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Ngoja nianze kuset TV yangu, leo naweka uzembe kidogo kwenye kazi yangu, niufurahishe moyo wangu. 09:36 bado kiduchu tu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Tupate update kwa kila linalojiri mkuu, tuko pamoja sana
  10. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ndiye aliyempeleka Lowassa UKAWA

    Asije akafikiri kwamba hii ni Nchi ya familia moja ya Kikwete
Back
Top Bottom