Recent content by ezronb

  1. E

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Uzi mkali sana, ndo nimemaliza sasa chuo nipo na 2M, wakubwa wa huu mtandao mnishauri mdogo wenu na mtoto wenu. Elimu? Bachelor of Laboratory Science and Technology Age? 22 Bank balance? 2 millions. Kwa sasa? Nipo Idle
  2. E

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Ndo nimemaliza chuo huu mwezi, nipo nasoma huu uzi, I'm a little bit hopeless for now.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wasioamini katika dini tukutane hapa!!

    Dini zingekua na maana wazungu wangebaki nazo kwao
  4. E

    JamiiForums Tanzania ushauri wa kozi za chuoni

    Kuna kozi za technical education in engineering unaweza kuzisoma. Eg, tech education in mechanical, tech in civil na nyingine nyingi. Unaweza pitia TCU pia vizuri zaidi.
Back
Top Bottom