Recent content by Ezmet

  1. Ezmet

    Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

    Habari wana jamii forums [emoji1366] Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa? For me ni mmoja mpaka sasa naendelea kujitunza mpaka future wife atakapo kuja am waiting for her popote...
  2. Ezmet

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Yeah that was a mistake
  3. Ezmet

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Iko hivi baada ya kuona dharau zimezd niliamua kum suprise iPhone siku ya birthday bila kujua nili set icloud yangu kabs so kila picha na video anazorecord naweza kuaccess na location pia. Watumiaji wa iPhone watakuwa wamenielewa nilizipataje video wakiwa wanarecord wakiwa room wamelala hata...
  4. Ezmet

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Mmenishaur vibaya kaja na police wamekagua simu zangu zote na mm pia nimeomba simu yang niliyomnunulia siku ya birthday iphone x nikampe tu bi mkubwa aache tu kutumia infinix [emoji23]
  5. Ezmet

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Na mm nilisema hivyo kaka.
  6. Ezmet

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Demu anasema mwenye forester usalama niwe makini hatak yanifike mabaya. Nacheka kama mazur [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Ezmet

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Nimetumia hizo video kaja home na police. Wamekagua simu yang na kufuta video zake wakiwa kitandani na mwenye forester. Nimetishiwa maisha endapo nikivujisha maisha haya jaman nichapiwe na kutishiwa maisha haya bhana. Mkiona kimya ujue nimetekwa. [emoji28]
  8. Ezmet

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Nilikuw nasubr hii comment [emoji23]
  9. Ezmet

    Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

    Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini. Niliamua tu...
  10. Ezmet

    Sababu ya wapenzi wapya kufurahiana na kuongea sana ni kwa kuwa hamjuani sana, mkishazoena na kujuana basi stori zinaisha.

    [emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana na niliachwa pia kisa kapata penzi jipya usiku mzima siku ipo busy wanaongea nikipiga inatumika akipokea anakasirika anasem anaongea na mama ilibd tu nijiongeze hata kama nilimpenda maskini mtoto wa watu nikampa na block.
  11. Ezmet

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Dada zetu wamekuwa mashetani [emoji23]
  12. Ezmet

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Ndomana dada zenu wa bara wakishoboka tunawagonga kisawasawa [emoji28] Am just kidding [emoji102]
  13. Ezmet

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Mbona unatusema sana kisa tupo kigambn kwa wingi sisi wote ni ndugu kijana [emoji16]
Back
Top Bottom