Recent content by ezla

  1. ezla

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Nakubal
  2. ezla

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Mkuu naomba msaada mimi nimewasaidia Dada zangu wawili kuaply elimu Sasa tukafungua akaunti na tukaletewa username za kutumia ambazo Ni namba za nida kwa kila mmoja Sasa ishu ikaja mmoja tumemaliza zote zinasoma [emoji817] lakini taarifa zake mwazoni kabisa Namba ya Nida inakuja Ni ya mwingine...
  3. ezla

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu wapya wamelipwa stahiki zao?

    wawe na subra watalipwa tu,
  4. ezla

    JamiiForums Tanzania This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    mimi nalima maeneo ya kijungu na nina mpango wa kulima ekari 20 za alizeti na nimeambiwa mbegu ya hysun33 ndo nzur naomba ushaur wenu na msimu wa kulima huko ni january
  5. ezla

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hekima na ninawezaje kuipata?

    Jitahidi kusoma vitabu ambavyo vinaendana na career yako, pia kureason kabla ya kufanya maamuzi ni muhimu sana!
Back
Top Bottom