Kwa maoni yangu, kwa mfumo wetu wa utawala wa demokrasia hii ya kurukia, yenye kujaa fitna, umbeya, ushabiki na chuki, hakuna mwenye uwezo wa kuthubutu atakayesimaa. Maige alithubutu kuwanyima wazungu vitalu. Maige alithubutu kufunga biashara ya wanyama hai na hivyo kuokoa twiga wetu...