Recent content by ezalli

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

    Si Bora nyie October sisi huku Arusha wameweka nguzo tangu July waya hawataki kuleta ajabu wengine wenye connection wanawekewa chap bila usumbufu Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Huu ni mgao wa umeme au mabwawa yamekauka?

    Mkuu si mbeya tu hata Arusha hali ni hiyo hiyo maji saivi mwezi hayatoki Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Ni heri waseme kuunganishiwa umeme 150,000 kuliko kuzungusha wananchi Arusha nguzo zimewekwa tangu July hadi sasa Nov wala hatujui waya wataleta lini. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania GSM, Mshindo Msola tuachie Yanga yetu

    Hahahaaa Manara nini maana siku ya wananchi alienda kuchekea Chooni [emoji38][emoji38][emoji38] Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  5. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO mkoa wa Arusha mtaa wa Laizer mkandarasi wameweka nguzo sasa mwezi wa pili ushapita hatujui kinachoendelea tukienda tanesco ofisi ya mkoa hawatoi jibu la kueleweka je ni lini wataleta waya na wananchi kuunganishiwa umeme? Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwa bei hii ya bangi najitosa kuilima

    Obama wa Bongo, Hii ni biashara nzuri kama sheria zitaweka iwe inalimwa kwa Ku export itasaidia kunyanyua hali za wakulima sana kuliko kutegemea mazao kama mbaazi ambayo kg 150
Back
Top Bottom