Recent content by expirience man

  1. expirience man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padri Charles Kitima: Tumevuruga Historia ya Uchaguzi wa nchi, si jambo zuri, halitaiponya, litaiangamiza kisiasa

    ungerekebisha kauli hii ya kejeli kuhusu uislamu na waislamu kwa kuzikashifu madrasa zinazotoa mmafunzo ya dni. Wapo waislamu wapo wengi sana wanaomna upungufu wa serikali na hawakosi kama waislamu bali kama watanzania, kadhalika kama kuna watu wanamtetea ama kumkashifu kwa sababu ya dini yao ni...
  2. expirience man

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

    kwani mie sio mtu mbona mie nimeshtuka
  3. expirience man

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kuitisha Mkutano Mkuu kwa njia ya Mtandao, Je ni njia ya kuwakwepa/ kuwaogopa Wajumbe?

    sioni kama ccm inawaogop wajumbe ila naona ia jaribu kuenda uhalisia uliopo kwa ground hali halisi sio nzurisana wanajaribbu kurekebisha mambo ambayowalidhani ni muelekeo mpya lkn walijiongopea na wanataka kurekebisha hilo kosa
  4. expirience man

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha maana anachokipigania Polepole, hana muelekeo, apuuzwe tu na wapenda mabadiliko halisi

    Kwanini wewe usipuuzwe kwa huu ugolo umeandka hapa na ni kweli wewe unaamini amepuuzwa! Maana ameongea lakini kilichofuata ni kuahirisha mkuta mkuuu na leo unaona tangazo la mkutano maalumu umeitishwa kkwa njia ya mtandao kufanya mabadiliko madogo, hujiulizi kuwa nini alichonacho mtu huyo kama...
  5. expirience man

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Rais Samia alikuwa Makamo wa Rais kweli na kwa katiba pia akawa Rais na akawa wa kwanza katika Historia ya nchi yetu kuwa Rais ambae hakuchaguliwa ama bila ridhaa ya wanachi. Sasa anachokisemqa POLEPOLE ni kuwa kama hata kweli alitaka kugombea mwaka huu mchakto unatakiwa kuwa wazi na wanaccm...
  6. expirience man

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

    Mtu kama huyu alipaswa kutangazwa kama adui wa Taifa na binadam kwa ujumla wake ni mtu mwenye fikra za kikoloni. Mmambo kama haya ya kupunguza idadi ya watu yanakuwa na malengo maalumu hasi kwa ubinadamu na hakuna ukweli wowote kwa hicho kinachosewa na Bwaba huyu, kma ni kweli ni vipileo mataifa...
  7. expirience man

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichonishangaza kwenye Quran: Mtume Muhammad alibanwa mbavu na Malaika kisa kuishindwa kusoma Quran

    Sasa wewe umeona Hilo la mtu me kubanwa mbavu na unakejeli umesehau kuwa ndani ya bible kuna kisa cha mungu wenu alishushiwa kipigo na DAUDI mpaka akasalimu Mari!
  8. expirience man

    JamiiForums Tanzania Azam TV acheni udini aisee! Hongereni sana

    Public ni TBC sio Azam kama unakereka kaabfalie TBC
  9. expirience man

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitakiwa kufanyiwa Kumbukizi la Kitaifa hadi 2025 Mwaka ambao angemaliza muhula wake

    nchi inaongozwa kwa sheria sio mitzamo au mapenzi ya mtu. sasa mbona ingekuwa hatari kila mtu akitamani jambo lake liwe nchi itakuwa kama gheto la masela. sasa kama unaona linafaa jambo hilo fanya bidii ya kuwashauri wafanyanya maamuzi kulitungia sheria hilo ili kila rais atakaefia mamlakani...
  10. expirience man

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    aisee hiyoakili yako ni shida sana! Aliyekwqmbia uislamu ni kanzu nani aisee hilo ni vazi lenye asili ya nchi za waarabu na wala sio dini ukitaka kujua hilo enda kwenye nchi kama ya Jordani utaweza kuona namna hata wakristo ni vazi rasmi kwao jna wanaingia nalo mpk kanisani huko nawala sio...
  11. expirience man

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    sasahilo lina ubaya gani kwani hata kama angeajiri asilimia zote waislamu kwani unampangia mtu na hela zake na je unayafahamu malengo ya taasisi yao labda wamelenga kuwainua watu hao,. Tumeanza lini kupangiana mamba ya kufanya aisee? hata wewe unao uhuri wa kufuatilia vipindi ama kuacha ndio...
  12. expirience man

    JamiiForums Tanzania Mdude hachagui aseme nini na wapi!

    kama anachoongea hakivunji sherikani mtu mwache aongee ateme nyongo yake apono moyo wala hakuna haja ya kumoderate anachokwenda kuingea ali muradi havunji sheria
  13. expirience man

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akiwa Tunduma anasema David Silinde aliwasaliti wana Tunduma kwa kuhamia CCM. Je yeye na ya Lowassa!!

    hapa unazungumzi auhuru wa mtu kujiung ana chama cha siasa anachokitaka. hapo miminionavyo wala hakuna usalitini matashi ya mtu kujiunga nachama kwake anachokiona kinamfaaa kuendesha harakjati zake. kuna muda lazima watu waheshimu haki za mtu kujiamulia kwa utashi kile anachokiona kinamfaa...
  14. expirience man

    JamiiForums Tanzania Lissu anakuwa na nguvu pale panapokuwa na Siasa za mapambano (confrontational politics), zilikuwepo enzi ya Magufuli, Sasa hazipo, kapoteza relevancy

    hapa ningeanza kuku kukuuliza umr wako kwanza na mida umeanza kufuatilia siasa.Lissu umemjua labda baada ya siasa za magufuli na tukio la kupigwa risasi. Mapambano ameyaanza muda mrefu ka la hata ya ubunge akiwa anafa ya kazi utetezi wa haki za kininaadamu kama mwanasheria kuthibitisha hili...
  15. expirience man

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    aliyekwambia bara wakristo ni wengi ni nani na unatumia takwimu gani wewe. Nikujuze tu sensa ya mwisho hapa tz iliyofanyika kukiwa na dodoso la dini ni ya mwisho mwaka 1958 wakati huo idadi ya watu nchi hii ilikuwa mil 11 na asilimia 62 ilikuwa ni waislam. sensa ilitifuata tukiwa tumepata uhuru...
Back
Top Bottom