Recent content by exo

  1. exo

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Professa Mussa Juma Assad

    Mim nlikuwa namjua pro.lipumba duu kombe kuna vichwaa
  2. exo

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

    Huyu utakuwa BK bila shaka
  3. exo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    Sampuli uliyotumia haitoshi kuwa wakilishi ,wingi ule ni kwa sababu ya ziara ya prezdaa tu..ukweli hufichwa daima na mamlaka ..kwan hujui Uhuru wa nchi hii uliletwa na jamii ya watu gani???
  4. exo

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Dash huo ugonjwa nauogopa sana"" metastasis "?? Pancreatic cancer stg 4!!! Ni mbaya sana kama kweli imethibitika kwa vipimo vya uhakika basi siongei neno zaidi ya pole sana mkuu ila madaktari huwa wanawaambia ndugu wa karibu kama mgonjwa hawezi pona na siikumuambia mgonjwa!!! Pole mkuu
  5. exo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

    ETI KUZIMUA,,,wee jamaa wee umenichekeshaaa..mungu anakuonaa aisee
  6. exo

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae, rais John Magufuli ameongeza uwezo wa watanzania kutambua vitu ambavyo ni vyao(Uzalendo).

    Tunataka kuona ajira zinamwagwa kama enzi za jakayaaa kila mwaka ili kodi zetu tuzitumie maana umri unaenda bila ajira vyeti vipo makabatin
  7. exo

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Marufuku mtu kutolea matamko ya kichochezi katika Mkoa wangu wa Dar es Salaam

    Kumbe maaskofi walichochea!!!?
  8. exo

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 imefanikiwa sana kupandikiza uzalendo ktk makundi haya:-

    Umesahau ,walisema pia KATIBA mpya itakayosimamia hayo yote ili yatekelezwe na kiongoz yeyote atakaeshika hatamu
  9. exo

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 imefanikiwa sana kupandikiza uzalendo ktk makundi haya:-

    Umesahau ,walisema pia KATIBA mpya itakayosimamia hayo yote ili yatekelezwe na kiongoz yeyote atakaeshika hatamu
  10. exo

    JamiiForums Tanzania Counter: 'Wakazi wa Dar' wapanga kuandamana kumpongeza Rais Magufuli

    Nawaza:- hawa wamesema tayar wameshaandika barua ya kuandamana tar 12/4 (wamejitambulisha tayar) ,...Nawaza:- jee watu wengine wakiandika barua ya kuandamana 2604 (watakuwa wamejitambulisha pia) je,watachukuliwa hatua gani?? Au watapotezwa kimyamyaa..????' "".aah hebu tusubir kama hawa nao...
  11. exo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha imulike TRA Vingunguti Dar es Salaam

    Mimi nilienda pale mzee mmoja akanikadiria ela nyingii mnoo kuliko hata mtaj nlionao kabla sijaanza biashara nikagoma ,nkamwambia mzee basi bwana ntarudi siku nyingine sikurudi teeenaaa ,na biashara yenyewe nikaihamishaa...ahh yule mzee kibokooo
  12. exo

    JamiiForums Tanzania Dunia ina watu wabishi ila huyu mwamba nimewanyooshea mkono

    Ahh jamaa anatishaa
  13. exo

    JamiiForums Tanzania Stool/blood culture and sensitivity for typhoid

    Vituo vingi vya afya vya serikalin na private na hospital za mikoa
  14. exo

    JamiiForums Tanzania Bunge lirushwe "Live" kwa gharama yoyote ile

    TBC ni chombo cha Habari cha serikali, kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi hivyo kama gharama za kurusha matangazo ya Bunge ni tatizo basi wananchi tupo tayari kujichangacha ili tupate haki ya kikatiba ya kupata Habari live za kibunge live!!!
Back
Top Bottom