Recent content by eximpesa

  1. E

    Ma-RC, Ma-RAS, Ma-DC, Ma-DAS na Ma-DED waliopo madarakani hawalali

    Ungeeleza na sababu ili tukuelewe zaidi
  2. E

    Wajuzi wa biashara hii ya taulo za kike na pampas za watoto

    Nina wazo ambalo nadhani nahitaji msaada zaidi wa kuongeza ufahamu nina kibanda tayari na kuna biashara kadhaa naendelea nazo kama mpesa ila kibanda kiko wazi nimepata wazo niweke shelf kisha nianze kuuza hizi pedi za kike na pampasi hizi za watoto na vingine vinavyo endana na hivyo. Eneo...
  3. E

    Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Ushauri wangu kama unataka kumuona daktar nenda hospital ya mbali kabisa hama hata wilaya kabisa hawa madaktar wetu wa sasa ndo kwanza wataanza kukufatilia demu wako ili waanze kukuchapia
Back
Top Bottom