Ma-RC, Ma-RAS, Ma-DC, Ma-DAS na Ma-DED waliopo madarakani hawalali

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,554
Panga, pangua ya Mama Samia ndo habari ya mjini.

Katika awamu zilizopita, nafasi nyingi sana za kiutendaji walipewa makada wa CCM pamoja na wa vyama vya upinzani ( Anna Mngwira RC Kilimanjaro, Mtatiro DC huko Namtumbo etc).

Mama Samia hatabiriki, haeleweki kabisa. Anafyatua tu

Wateuliwe wengi wa Hayati Dkt. JPM hawalali usingizi kabisa. Mbili haisomi, moja haisomi.

MaDC ndo kabisa.

Tusubiri uteuzi leo.
 
Tunamuomba Hata Hawaache Ma RC, MaDC na DED wote ila Kwa Ole Sabaya yule wa Hai, Hafai Kabisa ampumzishe ili Kaskazini especially Hai Papone.
 
Tunamuomba Hata Hawaache Ma RC, MaDC na DED wote ila Kwa Ole Sabaya yule wa Hai, Hafai Kabisa ampumzishe ili Kaskazini especially Hai Papone.car
Wanaotakiwa kuondolewa ni RC mbeya, RC Njombe, RC Iringa, RC Mwanza, RC Geita, RC morogoro, Madc wanaotakiwa kuondolewa ni Dc meru, DC Geita, DC chato, Dc siha, Dc Hai, Dc chunya, dc ikungi,dc simanjiro, Dc nyangwale, dc Kahama, Dc kilosa, Dc pwani, dc Bahi, dc arusha mjini, dc bukombe, dc biharamulo, Dc Rombo, dc mafia,dc babati,dc kondoa,dc igunga, dc batiadi.
 
Back
Top Bottom