Recent content by evodizzle

  1. evodizzle

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Kuna ambao hawajakupigia kura!!! Kuna ambao hawapendi chama chako. Kuna ambao wana historia mbaya na chama chako. Uliposema #hapa kazi tu# kweli rais John Pombe Magufuri KAZI UNAYO.
  2. evodizzle

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Wote naona interest zao ni about 20%
  3. evodizzle

    Lugha Nyepesi ya Kilichotokea Zanzibar (ZEC) Leo Hii - 28/10/2015

    Kwahiyo baada ya kuona kuhairisha znz inaweza ku cost tz ndo wamekuja na mpango wa kuwatumia watumishi wengine wa zec kufuta kauli ya mwenyekiti wao . The country is full of conspiracy
  4. evodizzle

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Naungana nawe kwakweli. Ni dhahiri kuwa haiwezi kumkabidhi mtu wa chama kingine nchi hii. Ni bora dunia nzima na wananchi wajue tuna chama kimoja tz ili tushirikiane kukuza nchi yetu kupitia kukipenda hiki chama kimoja. Watz wengi wamechoka ili jina la chama tawala lakini hawana jinsi ya...
  5. evodizzle

    Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Hizo ndo habari tunazozitaka sisi. Wanajua watz wanataka nini.
  6. evodizzle

    TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

    Ilikuwa ni maajabu ya TZ . Kikwete na Maghufuri naona wanacheza fiesta mwanza.
  7. evodizzle

    Operesheni Zinduka 14 - Alipo Hatupo, Tuliko Hayupo - Wasikilize na Waone Hawa

    Jamani tunataka tuthubutu mwaka huu , najua EL ana mapungufu yake lakini bora huyo kuliko fisiem .
Back
Top Bottom