Recent content by EVIGT

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Pwani kuja na duka la ardhi

    Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kuwa WAKALA wa Hamia Digital popote ulipo

    Hii ni affiliate program, wazungu wanafanya sana, ila tatizo la bongo ni wazito kwenye sales closing, yani unaweza kumpa link, yeye akaingia na akaenda kutafuta namba ya ofisi zao ili aende huko huko, sasa aliyetoa link anakuwa katafuta mteja wa bure, sijui hawa jamaa watakuja na mbinu gani...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kuwa WAKALA wa Hamia Digital popote ulipo

    Hii safi wale watu wa harusi kila week kamatenu fursa sio unachangia harus kila week halafu uingizi chochote
  4. E

    JamiiForums Tanzania Needs distributors company Ltd

    Nishakucheki Whasap
  5. E

    JamiiForums Tanzania Needs distributors company Ltd

    Distributor unatakiwa uandike tangazo liloshiba mkuu, unatakiwa kuweka picha za product, picha mkiwa sokoni, picha za maduka yenye product zenu,, Sasa njoo PM tuyajenge.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Biashara za kuuza maji

    Technically ukiwa na 10 M unaweeza kununua mtambo unaoweza kuchuja lita 250 hadi lita 500, Mengineyo Hapo bado ujalipa pango, bado ujatengeneza source ya maji, hapa kwenye source unaweza kutumia maji ya uma au ukachimba kisima chako,ujafanya branding ya biashara, KIKUBWA FANYA TAFITI YA HIVYO...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ninayoipitia kwenye biashara yangu ya CLEANING PRODUCTS.

    Weka picha hapa za bidhaa hizo tuone,
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hormuz yabana dunia, bei ya mafuta yazidi kuwa juu

    Nafikili ni muda wa kuswich kwenda matumizi ya umeme na jua.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tunachimba kisima, maji uwakika

    Kwa huduma za uchimbaji wa visima vya maji na pampu za maji, Wasiliana nasi sasa, Huduma zetu ni nafuu na uwakika. Location; Kigamboni Kibada 0779380009
  10. E

    JamiiForums Tanzania Biashara inayomfaa mwanachuo anayesoma Doctor of Medicine(MD) ni ipi?

    Acha hizo mambo subiri ufike mwaka wa 4 ndio ujiingize huko kwenye biashara, medicine sio mchezo mchezo kwa mwaka wa 1 hadi wa 3,,
  11. E

    JamiiForums Tanzania Usiue huyu mdudu Kwa mikono yako

    Kaskazini , Arusha, Kilimanjaro
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Kama kodi unatoa wewe hama hapo haraka sana , utakosa amani hadi lini, ili muhame kirahisi, tengeneza mazingira kuwa nyumba inavibweka vya ushirikina, vinja hata nazi sebuleni kwako usiku, weka mayai viza kitandani kwako kwa chini, yaani full vibweka,
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu zaidi katika matumizi ya solar

    Ishi nayo hii
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kortini wakidaiwa kuiba magari yakipelekwa bandari kavu

    Hayo magari sidhani km yaliibwa hiyo ni ilee michezo ya kuswich vehicles, ilifanywa kitambo sijaju km bado ipo,,...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tuvae Condom Wandugu, Nasisitiza

    Kuna ile umelewa alafu unapost , jf warudushe kile kipengere cha reviewing,,
Back
Top Bottom