Jamani upinzani si kupinga kila kinachosemwa au kufanywa na ruling party. Kama swala linahusu ustawi na usalama wa nchi yetu ni vyema kuweka uzalendo mbele kuliko maslahi binafsi. Slaa busara imemtoka now anaonyesha wazi kuwa hafai kuwa rais kwa sababu hataweza kuilinda nchi yetu.kikwete...
Ifikie wakati serikali iwe wakali kwa wafanyabiashara wanaohatarisha maisha ya watanzania kwa kuuza bidhaa zisizo na viwango. Pia wananchi tusikubali kununua bidhaa bila kuichunguza kama imeidhinishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.