Akitoka hospitali akaanza kusema maneno kwa jirani atakuwa amepona na lazima halete taarifa kutoka kwa mganga navyoendelea kwa ripoti ya maandishi si mdomo maelezo yanaweza kuletwa na mke au jamaa wa karibu Kama anaumwa Sana.
Jua demokrasi bila sheria ni wenda wazimu .Mimi naona mheshimiiwa spika hajakosea sisi sote hakuna asiyejua tatizo la Lissu lakini tatizo linatokea pale anapotoka hospitali na kuanza utalii kuishambulia serikali huku wananchi wake wakikosa uwakilishi.Lissu amekosa uzalendo wa taifa letu...
Hakuomba ushauri nasaha kujiua siyo surulisho la kumaliza matatizo hii ulikuwa tuhuma yeye akajihukumu na kuacha familia yake kwenye matizo.Mtu unapokuwa na msongo wa mawazo lazima uombe ushauri kwa marafiki na jamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.