Tangia jamaa kaingia kasaidia nn, Bado Hal ngumu ya maisha ipo palepale huduma zpo vlvl, Kutumbua watu CYO ktu, hvyo n vtu vya kawaida tu, teknc za kupga hela zpo pale pale, huduma kwa wananch zpo vlvl.
Kitendo cha mtu kwenda kuchota maji, je anaweza sema nafuata maji? Kiingereza chake ni " to follow water" au " to fetch water? Naomba msaada wenu kutoa utata
Unapokua na uelewa mdogo huwez ona umaana walm wa sayansi, ushawah jiulza swali dogo Kama hili "madakri waliopo mahospital wamesoma sayans ipi, na wamefundshwa kwa principle zp? " fkria kmapana uckurukupe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.