Recent content by evanstheprince

  1. evanstheprince

    Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

    Utabiri wako ni kama nauelewa japo moyo unauma natamani Real Madrid wabebe
  2. evanstheprince

    CAF Champions League: Simba kuingiza mashabiki 10000

    Kila la heri Simba Sports Club. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  3. evanstheprince

    Naomba mwongozo kwa anayefahamu utaratibu wa deregistration kwa Open University of Tanzania

    Mimi nlikuwa ni mwanachuo wa chuo Kikuu huria lakini nilipofika mwaka wa pili niliandika barua ya kusitisha masoma na kuondolewa kabisa kwenye system ya chuo hicho ili niweze kujiunga na vyuo vingine. Lakini cha kushangaza hadi leo sijafanikiwa kuondolewa na hivyo nashindwa kujiunga na chuo...
  4. evanstheprince

    Shule za English medium za serikali

    Inaitwaje Kiongozi hiyo ya Ipagala
  5. evanstheprince

    Shule za English medium za serikali

    Dodoma pia wilaya ya Kongwa ipo moja inaitwa NDC-NARCO PRIMARY SCHOOL - PS0305042
  6. evanstheprince

    Biashara ya uwakala M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money

    Hata mimi nahitaji mkuu inapatikana kwa bei?
Back
Top Bottom