Recent content by Evans Richard Arsenal

  1. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata connection ya wauzaji wa PIKIPIKI kwa bei ya kiwandani kwa wachina wenyewe kwa pikipiki za SINORAY, FEKON, KINGLION etc

    Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya rejareja au kwemda kwa mawakala wa mikoani au wilayani. Nataka kufungua duka kwa ajili ya kuuza pikipiki...
  2. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna mtu nilishangaa alikuwa analipwa mshahara Wa zaidi ya 800k kama take home lakini alivyopata chance ya kwenda CCP (degree) hakujiuliza mara mbili aliacha kazi akaemda kupiga kozi ya miezi 12. Kila mtu ana malengo yake ktk maisha so tubaki kuangalia tu na kutokukata tamaa maishani. Sisi...
  3. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Miezi 12 utaona ni mingi ila Kwa mtu anayeenda kufanya usaili lazma ajue hili. Ni heri kupoteza mwaka mmoja Kwa kupata msosi, Hela ya kujikimu (100k), pa kulala Bure kuliko kukaa mtaani Bure bila kazi yyote. Kumbuka baada ya shida hizi na huduma zote kupewa Bure, baada ya miezi 12 unaingia...
  4. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Degree walikuwa more than 1,000 kwenye usaili ila wamechukua 57 tu pekee. I hope Kuna simu zitaita Kwa ambao hawajapata nafasi kwasasa (second selection kama mwaka Huu April & May 2023 walienda intake 2) Ili kukava nafasi za wale ambao hawatoripoti CCP au kukosa vigezo au afya etc. Makamanda...
  5. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwasasa ni mwaka mmoja, Kuna watu walishamaliza hizi kozi mwaka jana wapo kazini now walipiga miezi 12
  6. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkoa unaochukua watu wengi zaidi ni DODOMA pekee.
  7. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hapo Form 6 mnasema 8 Kwa mkoa sasa hawa Wa Diploma au Degree ndio watachukua hata 1 kwenye Kila idara.
  8. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sawa Kiongozi. Vipi Kuna watu Huwa wanaingia katikati ya kozi inapoanza huko CCP au kwenye kozi za majeshi mengine?
  9. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hapana Chief Sina mbanga
  10. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wenye lonja yoyote kama Third Selection ya PT itatoka mwezi Ujao (June) kujaza nafasi za ambao Bado hawajaripoti CCP.....
  11. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kutakuwa na Third selection PT au ndio kimya kimya kwasasa PT?
  12. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Duh mkuu jifunze kuappreciate kazi za watu, ume copy na kupaste kwangu. Huu Uzi upo hapa hapa Jamiiforum ni ya Miaka 3 sasa imepita Nimeandika. Uwe unaedit basi hata kidogo.
  13. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Leo ndio Ilikuwa siku ya mwisho kuripoti kambini CCP, so kuanzia kesho wataanza kuangalia mchakato Wa kujaza nafasi za ambao hawajafika CCP pamoja na reserve tajwa.
  14. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

    So possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali? 1. Pyramid ya Misri, 2. River Plate ya Nigeria au 3. USM Alger ya Algeria
  15. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

    So possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali? 1. Pyramid ya Misri, 2. River Plate ya Nigeria au 3. USM Alger ya Algeria
Back
Top Bottom