Recent content by Evander

  1. Evander

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

    alikunywa mipombe yake mnatuletea kavamiwa we kiongoz gan anazurula usku na walinzi wake walkuwa wap kama so kujifanya ili wachafue serkal ya king of Africa Mh.Magufuli rais wa kipekee mwenye akili ya kujiongoza kama kiongoz na bado atawakera zaid watajarbu kumharbia awata weza magufuli king of...
  2. Evander

    Corona: Huu ndio ukweli kwanini Kenya inaiombea mabaya Tanzania

    ujakosea mkuu huku Kenya wakimuona mTZ hasa Nairobi wanaona kama umejitwisha gunia la kolona kichwani wanakuseti maafisa wa afya unashitukia wanakugongea wakupeleke karantini ata kama huna dalili ili mradi ni mtanzania tena wanakuja na police wakutosha
  3. Evander

    Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

    duh! 10k kwa sku mkuu ata waliyo ajiriwa serikalin ni wachache wanao ipata kwa siku 1k tu jau kuipata labda uwe na biashara kubwa tena yenye mtaj mkubwa ila so kwa mishikaki unayo zungumzia ww
  4. Evander

    Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

    mutura ni utumbo mpana wanajaza nyama za kusaga wanasaga utumbo mwembamba mix na nyama mbayambaya
  5. Evander

    Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

    20 Bob hiyo ni midogo ya Kenya uwa mikubwa kidogo wanauza na muturaa
  6. Evander

    KENYA: Maambukizi ya Corona yafikia 1745

    Wakenya sifa zitawamaliza washageuza mchezo kupima awana lolote sifa tu.
  7. Evander

    Magufuli awaasa mabalozi wa Tanzania wajifunze kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania

    Kweli mkuu maana hili jamaa kila mada ni kuchonganisha 2 kama mbwa koko
  8. Evander

    Raila kuja Tanzania Jumamosi kuishawishi Serikali juu ya COVID-19

    we ni mtumwa hayo ni mawazo yako ww
  9. Evander

    Kenya Police are now chasing and Arresting Tanzanians at the border

    Unakumbuka ng'ombe na vifaranga tulicho fanya TZ uwa hatukulupuki kama NYUMBU endelea kujinadi!
  10. Evander

    Watanzania wengi wanatamani wawe raia wa nchi zinazopambana na Corona kwa dhati ili kuwa na uhakika wa kuishi

    kweli mkuu uyu MTU anatuletea mandoto anayo ota akila makande
  11. Evander

    Watanzania wengi wanatamani wawe raia wa nchi zinazopambana na Corona kwa dhati ili kuwa na uhakika wa kuishi

    sema wewe ndo unataman kuwa raia wa nchi nyingne acha kuvuta wengine na mawazo yako potofu
  12. Evander

    Kenya anatupa somo gani?

    Mkuu we ndo mtanzania OG kama Mimi nawashanga baadhi ya watu wanasapoti maoni ya nchi jiran na kumponda rais wetu kutokana na umahiri alio nao na msmamo wa mtanzania og watanzania tushirikiane kwa pamoja kama taifa huru tuache mipasho isiyo na msingi nampenda Rais wangu kwa kuwa kiongoz bora...
  13. Evander

    Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

    Ndugulile hana utalaam wowote ndio maana alipewa unaibu na ndo maana katenguliwa afanyi kazi iliyo mpeleka kaz kupiga majungu kuhusu maamuzi ya Magu king of Africa
Back
Top Bottom