Kenya anatupa somo gani?

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wana JamiiForums,

Leo katika kutafuta habari mpya kwenye mitandao nikabahatika kupitia JamiForums nikakuta bango kubwa eti breaking news Kenya wamefunga mipaka Yao na Tanzania kisa kupambana na Corona na kuongeza siku za kutokutoka ndan kwa muda wa siku thelathin. Nikashangaa walipo sema Ila madereva wa malori na malori yao hayata zuiliwa wataingia Ila kwa kupimwa kwanza nikajiuliza Kwan mwanzo walikua hawawpim?

Kwenye hii habari yao mpya una u breaking news gani wakati yaliokua awali ni yale yale wala hamna utofaut wote tunajua kwamba toka mwanzo East Africa wote walifunga mipaka Yao Ila wakaruusu magar ya mizigo tu na kwamashart ya kupimwa kwanza au ilikua tofaut na hii?

Pili swala la Kenya kutangaza kwamba inaongeza muda wa watu kusalia kukaa ndani kwa siku 30 Tena mbele mimi Kama mim lina nichanganya kwa sababu najua kabisa Kenya hawajawai kufungia raia wake ndani Ila alipunguza muda wa kutoka nje Yani saa moja jion watu wanatakiwa wawe ndani na saa mbili asubuhi watu watoke wakafanye majukum Yao.

Sasa ningependa niwa ulize wakenya umu lin wamekaa ndani au hii Corona wanaitumia Kama njia ya kujipatia misaada sababu Kenya inatangaza kua raia wake wapo karantin wakat serekal hio hio ya Kenya ipo inaenda kuwavunjia raia wake nyumba wanazo kaa japo kua Kuna janga ili la Corona na ili kujinusuru mtu anatakiwa astay hom Sasa mtu ata stay home ipi wakat serekal inavunja nyumba za wananch video io Apo angalia

Pia Kenya kutangaza kua kwao wanafungia watu ndani na wameongeza muda Kama ni mfatiliaj utajua kabisa Kenya wanaamua watudanganye kua raia wao wapo ndan hawaruhusiw kutoka kitu ambacho Sio kweli East Africa hamna nch ambayo haija chukua hatua thabit na mzur za kupambana na Corona Kama Kenya sababu raia wake hawana hata barakoa Ila wanavaa vipande vya sidilia za kina Mama Tena wanagawiwa na baadh ya viongozi.
Kenya now hawapamban na Corona Ila ni Askari wanapambana na raia kitu ambacho ni hatari Sana sijui serekal ya Kenya inalenga nn kutoa matamko ambayo yapo tofauti na utekelezaj
Angalia hii vidio ya Kenya Askari akishambuliana na raia

Kenya inatumia propaganda katika kupambana na janga ili katika nch yake Ila Sio vitendo sababu inavyo tangaza na uhalisia ulivyo inaonesha dhahir kua Kenya anadanganya sababu anatafuta urais wa kupewa mikopo na wazungu au anadanganya wazungu wajue Kenya anapambana vilivyo na Corona.

My take Kama anadanganya sababu ya kupata mikopo ajue kabisa Corona ikiisha uchumi utakua umeyumba na atatakiwa alipe mikopo ya watu Apo itapelekea kuwabana wafanya biashara kwenye kulipa Kodi au abinafsishe baadh ya Mali za wakenya

Pia namshaur asije akaingia kwenye garama za kuchukua mikopo Ming na mizito kwa taifa lake alafu akaehindwa kuimaliza Corona ajue kabisa ataitwa kazi bure

Na msihadaike watanzania Kenya msanii tu Wala Hana Lock down Wala Nini raia wa Kenya wapo bize wanafanya kazi

Kingine kinacho tukost watanzania ni siasa zetu mbovu Kenya anadanganya kua wapo karantin wakat Sio kweli Ila hamna mwanasiasa wa Kenya anae ropoka ropoka ovyo wote lao ni moja Ila watanzania Mama yangu wao ndio wnaijua siasa vizuri wao ndio wakwanza kuongea vitu vya kuligawa taifa wakat wakanya mpaka raila odinga kaungana na serekal yake sababu anajua kua Kenya kwanza mengine baadae

Kenya anatangaza yupo lock down wakati anavunja nyumba za raia wake ili aendelee kujenga nch japo Kuna janga la Corona Ila odinga na chama chake kimia Kama vile Sio wapinzan Tena kuonesha ni jinsi Gan wamekunywa maji ya bendera ya nch Yao kwao hawaongelei mabaya Ila eanaungana na misukule yetu ya Tanzania kupinga juhud za Rais na kukiombea taifa ligombane na majiran zake Kuna mmoja kaona aahid kuandika barua kabisa kuishtaki Tanzania ivi watanzania tunawezaje jaman?

.ma juzi raila odinga ana mshtumu Rais wetu et labda Hana washaur wazir baadh ya watanzania wana sapot hoja wakat tulitakiwa Tum attack wote kwa pamoja na kukemea sasa ivi tujaribu kusimama Kama taifa moja kwenye vitaa hii.

Tatizo kingine Rais wangu hajui kudanganya maskin ya MUNGU. Yan hata kusema naweka dar lock down Kama wakenya wanavyo SEMA ili Hali si kweli yeye hawezi anamuogopa Mungu.

Ila ningewaomba watanzania wote wawe chadema. CCM .Act. cuf. NCCR na vyama vingine vyote wote kwa pamoja tusimame na tujitoe kwa taifa letu Yan Kama upinzan mnataka kumpiga magufuli misumar yenu pigen hata ki mafumbo uku wote kwa pamoja tukioambana kuakikisha Tanzania inabaki Tanzania baada ya seke seke ili kuisha tutarud Tena kambin wale wa kuponda wataweza kuponda na wale wa kusifia watasifia.

Now ningependa chadema na vyama vingine mzichukulie nchi ambazo Zina Nia chafu juu ya nch yetu Kama mnavyo ichukulia CCM

Pia CCM na serekal na nyie zishughulikien nch zote zenye Nia mbovu Kama mnavyo ishughulikia chadema na act wazalendo

Together we can

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiye atakayeamini hiyo Lockdown ya Wakenya.Kenyata atajuta kwa kufunga mpaka na nchi yetu.Sisi ndiyo soko lao kuu kwa bidhaa zao kama blueband,sabuni Dawa za miswaki na hata Maziwa.

Katika Africa Kenya imewekeza Tanzania miradi mbalimbali,Mfano bank yao ipo hapa kwetu.Kenya wamesahau waliwahi kuunda umoja wao wakishirikia na nchi za Rwanda,Uganda na South Sudan.Mwisho wa siku ilibidi wanywee kwa kumtuma Waziri wao wa Mambo ya nje,kuja kuomba msamaha ndani ya Bunge.Wakati ule ilikuwa utawala wa Mkwere ambaye alikuwa mpole,This time ni Zamu ya jiwe.Ngoja tuone sakata litaishia wapi

calm down your titties... Tanzania isn't that important. we can cut you off for good.
nenda ukalie mbaliiiiii
 
Dah! Ila Kenya Kuna shida kubwa sana ya maji

Nimeangalia hiyo video ya Mombasa slums za Bangladesh ni aibu kiukweli, hiyo middle income status sijui walipewa na mpumbavu gani kama basic social standards kama maji wapo hovyo hivi tena kwenye miji mikubwa kabisa.
 
Mkuu we ndo mtanzania OG kama Mimi nawashanga baadhi ya watu wanasapoti maoni ya nchi jiran na kumponda rais wetu kutokana na umahiri alio nao na msmamo wa mtanzania og watanzania tushirikiane kwa pamoja kama taifa huru tuache mipasho isiyo na msingi nampenda Rais wangu kwa kuwa kiongoz bora mwenye kufata kanuni za taifa huru
Habari wana JamiiForums,

Leo katika kutafuta habari mpya kwenye mitandao nikabahatika kupitia jamiforums nikakuta bango kubwa eti breaking news Kenya wamefunga mipaka Yao na Tanzania kisa kupambana na Corona na kuongeza siku za kutokutoka ndan kwa muda wa siku thelathin. Nikashangaa walipo sema Ila madereva wa malori na malori yao hayata zuiliwa wataingia Ila kwa kupimwa kwanza nikajiuliza Kwan mwanzo walikua hawawpim?

Back
Top Bottom