"....UZALENDO SI UMASIKINI, Wabunge wanapaswa kulipwa vizuri ili waweze kupigania maslahi ya watumishi wengine na kuwa2mikia wananchi...." Mimi hoja yangu ni kuwa pia UZALENDO huohuo SI UTAJIRI! Anayefanya kazi na ale ila asiyefanya kazi asile isipokuwa wale wote wasioweza kufanya kazi kwa7bu ya...
Tunajua fika kwamba kuwa rais wa nchi haimaanishi kwamba kila ki2 unafanya mwenyewe pasi ushauri wa jopo lako kwa ajili ya kuinusuru nchi. Hivyo basi ni jukumu kubwa linalohitaji hekima ya hali ya juu katika kufikiri kwa kina na kuweza kupata ufumbuzi. Swala si kusaini tu bali nini inasainiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.