Recent content by Euroleague

  1. Euroleague

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

    Hivi nyinyi mshawahi kutana na wanaume wavivu hawaleti chochote mezani. Yeye anachojua ni kula kuomba vihela na kwenda bar kununua malaya. Huyo dada mwacheni tu kwa aliyopitia.
  2. Euroleague

    JamiiForums Tanzania TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Kila mtu na malengo yake. Kwani physics na chemistry inaugumu gani. Sina shaka na uwezo wa Chegere sababu hata ukimpeleka Muhimbili leo aanze kusoma udokta atawabuluza wote wanaosoma pcb. Na sio yeye tu. Hata mm mwenyewe muda huu ukiniambia niende Muhimbili au coet pale UDSM nianze degree...
  3. Euroleague

    JamiiForums Tanzania TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Jamaa kweli mzuri. Ila tumpe heshima yule mwamba aliyekua TO Tangu darasa la saba hadi chuo UDSM. Mm binafsi nilishudia majibu ya mtihani wake wa form 2 niseme tu jamaa sio anaakili bali hata kupangilia kazi anajua. Yani mwanafunzi anapanga majibu kuliko hata solution ilivyoandaliwa na baraza...
  4. Euroleague

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    Leo ndio nimeamini polepole muongo. Daaah
  5. Euroleague

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

    Mm ikitokea hivyo. Nairudisha TANGANYIKA
  6. Euroleague

    JamiiForums Tanzania Je kuna uasi unanukia chamani?

    Hamna uasi wowote. Wananchi walivyo waoga ndio chamani wapo hivyo hivyo.
  7. Euroleague

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA kususia Uchaguzi wametuumiza wengi

    Wee jamaa acha kufananisha ukoloni
  8. Euroleague

    JamiiForums Tanzania Ni siku ya 17 leo Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la GCTC hajaonekana? Wewe unafikiri yuko wapi? Nitakupa Jibu hapa hapa 👇

    Bongo usijifanye shujaa kiherehere. Unapotea na jamii haina muda na wewe.
  9. Euroleague

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lucky Dube: Your Reaction

    Daaaah BAK umenikumbusha machungu. Siku hiyo nilikua naenda zangu kupiga cord 2 pure mwenge kwa Kim. Machungu ya ya habari hiyo yalinifanya nibaki nyumbani tu
  10. Euroleague

    JamiiForums Tanzania Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

    Mm namba moja ni Angelique Kidjo. Mtu mbad sana yule mama.
  11. Euroleague

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi ndivyo Rais Samia atakavyokuwa akipaa na kuteka anga la Tanzania kwa Helikopta maridadi na yenye mvuto

    Wasije wakafanya utabiri wa Shekh Yahya utimie. Machopa haya kila nikiyaona namkumbuka mkuu wa majeshi Kenya, Filikunjombe, Mamba, Rais wa Iran.
  12. Euroleague

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

    Uchawa=Ushoga.
Back
Top Bottom