Recent content by Eugene Krabs

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hakuna legacy urathi mbaya alioacha Magufuli kama kutuletea hawa vinyamkera wa kukera.

    Kichocheo kikubwa cha maendeleo ya nchi ni social thinking/attitude. Kwa ungese wa michango ya JF tu unapata picha on what’s wrong with Tanzania in terms of social thinking. Watanzania hawajui hata mipaka ya social interaction, kwenye vichwa vya wapuuzi wao it’s OK to violate people they don’t...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hakuna legacy urathi mbaya alioacha Magufuli kama kutuletea hawa vinyamkera wa kukera.

    Samia na genge lake la senior civil servants wenye tamaa sio CCM, Na wala sio msimamo wa wazanzibari wote ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama. Shida ni culture ya tamaa ndani ya vyombo vya ulinzi, jumlisha declined patriotism/nationalism culture, Kwa kifupi ni kwamba Kinachoendelea Tanzania...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hakuna legacy urathi mbaya alioacha Magufuli kama kutuletea hawa vinyamkera wa kukera.

    Mawili Either ni sehemu ya kutajirika au sehemu ya mataahira. Something tells me (ni sehemu ya mataahira). Magufuli alijaribu kuleta maendeleo, kwenye jamii yenye upinzani mkubwa zidi ya maendeleo. Ni mataaahira tu ndio awakumuelewa Magufuli
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hakuna legacy urathi mbaya alioacha Magufuli kama kutuletea hawa vinyamkera wa kukera.

    Hakuna kazi kwenye uongozi kama kubadili tabia za jamii na kubadili utamaduni wa ufanyaji kazi serikarini. Ili kuwe na nchi imara, lazima kuwe civil services imara. Civil services ascendency ni dependent on meritocracy. Tanzania ina mfumo imara ‘you just have to listen to some civil servants’...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Ni mataahira tu ambao awakumuelewa Magufuli. Hakuna kuchomoka hapo
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Kila siku tuna wasii tusome Plato republic and understand his ‘ship analogue’ That’s the essence of western democracy. Kwetu Magufuli wasn’t perfect, but kama ukumuelewa wewe ni taahira. Someone has to face challenge ya kuwabidili watanzania fikra. Watanzania hawajui kuna mipaka kwenye...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Warembo mida hii ya jumamosi wana gegedwa, wako hoi. Utakuwa janamke mmoja la hovyo kweli kuwa JF mida hii ya jumamosi ambae ulipi.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Shida kubwa ni social culture (ways of thinking). Ndipo hapo Magufuli akueleweka Someone has to embark on that battle on reshaping the social thinking. Ain’t no one, nor the theories say it’s an easy task. But someone has to do that job, ooh my god upuuzi wa Wa-Tanzania is beyond me.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya facts kuhusu nyoka

    Hapa nyoka au bahari, mbona kama uzushi vile.
  10. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Kiongozi sibishii habari zako za ndani; there is no way binanfi nilikuwa najua/wala ningeweza tabiri kuwa hapo halipo. If anything sikujua hata jamaa alikuwa ni senior civil servant, mara ya kwanza namuona (si unajuwa hao jamaa ni watu wa siri). Tulikutana kwenye majibizano ambayo akupenda...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    He tired of the comparison If anything I am clever 😀😀😀 if you have to distinguish and drinks more.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Kuwatwanga hawa mataahira so called wanasheria wa serikali ni dakika moja tu. As yet Lissu ni kama anatumia tofali kuua sisimizi.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Mimi ndio nilie itunga hii kesi Na as yet sioni ushahidi wa kukadhia shutuma husika. Kilichopo ni madoido tu, lakini hakuna kesi.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Hakuna case mpaka sasa zaidi ya ujinga mtupu. Free Tundu Lissu
  15. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    What has this nonsense (witnesses) got to with disproving the ‘men’s rea’ and ‘actus reus’ of the case. It’s just pathetic
Back
Top Bottom