naona watu wanapeanza namna ya kufanya biashara, kujenga, biashara ya kilimo, mayayi, kuku, uchawi na mengineyo
Mimi nataka kujua namna rahisi ya kuhamisha pesa nje ya nchi baada ya kupiga dili.
Naamini wadosi wengi hapa Bongo ndio zao lakini sijajua wanatumia technique zipi zaidi ya bureau de...