Habari za muda?
Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso vya miezi miwili au mmoja ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za mtu yeyote wa aliyepo Dodoma anayeuza anipatie, usisahau kunijulisha na Bei.
Nilipewa taarifa na mtu kuwa kuna dada yuko maeneo ya kwa waziri mkuu...
Kwa ushauri wangu mik ntakushauri anzia ubalozi wa Ghana hapa Tanzania na waulize kuhusu hilo Tangazo na naimani kama ni tangazo halali watalupa ABC zake na kama ni utapeli pia watakwambia,ikiwa ni kweli watakupa njia za kufuata uende kwenye interview
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.