Sumaye alikuwa Waziri mkuu na alikuwa kiongozi wa shughuli zote za serikali bungeni sheria zote anazifahamu na pia ni tajiri kama ulivyosema wewe mtoa Mada ameshindwa nini kuliendeleza shamba hilo wakati akijua sheria iko wazi na akapewa hadi notisi ili aliendeleze shamba hilo lakini...
Wewe yaonekana hata ulipojitambua baada ya kuzaliwa ulimkatalia Mama yako alipokwambia wewe ni mwanae na tena yaonekana hata jinsia yako pia labda uliikana ukasema u jinsia tofauti na uliyonayo make wewe ni mtu ambaye uko tayari kuubishia ukweli na unaye aminishwa kwa uongo WAKE UP
Sent from...
Duh ndugu yangu wewe ndiye hujui hata nchi yako inaendaje. Ngoja nikusaidie tu RAIS WA TANZANIA ANAYO NDEGE YAKE SPECIAL NA UJUE TU KUWA NDEGE HIYO ILINUNULIWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TATU YA RAIS MSTAAFU MKAPA. Na Rais hatumii ndege ya abiria katika safari zake amka ndugu
Sent from my TECNO...
Mmeona huku kwenye mitandao ya kijamii ndo pa kusemea maneno haya ya kejeli! Hivi ni wapi ambapo unaweza kujenga viwanda kwa kipindi ambacho Rais Dr Magufuli alipoingia madarakani? Kila kitu kinaenda kwa utaratibu mpo kwa ajili ya kuangalia negativity things tu positive things hamtaki...
Pritty hata mimi natamani kuanzisha hicho kiwanda kidogo cha Tomato sauce cause tayari nina greenhouse ila soko bovu sana una hakika na mashine hiyo ya kusagia nyanya huko SIDO au unao mwanga kidogo wa bei yake ebu niondolee tongotongo basi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.