The internet is the greatest tool democracy ever invented.
You can not keep information under wraps anymore, because technology is impossible to control.
By Tucker Carlson
Cancelled on FOX NEWS, available on YOUTUBE
The internet is the greatest tool democracy ever invented.
You can not keep information under wraps anymore, because cyberspace is impossible to control.
Military invoices instructing treasury to pay out billions of taxpayers money to arms dealer blacklisted by previous administration are...
Na wilayani pia inategemea uko kitengo gani
Kuna manguli wilaya za mijini kukupimia kiwanja na kukutolea hati wanataka milioni 3, hapunguzi hata jelo kwa saab wateja anao na ndo bei ya soko... . ukisema uenda mwenyewe fronti unakaa miaka mitatu... yeye anakuahidi wiki.... unadhani anapata...
Hii itakuwa taarifa ya msemaji wa serikali kututoa kwenye reli
Ameibua mijadala mikubwa, ameiubua wapi ??? Mbona hatuwajui hao ma gei?
Ma celebrity na mapunga ya Nigeria sio maarufu kila nchi, nendeni mkajadilianeni nayo huko huko mnakowatafutaga
Gei liko Nigeria, hatulijui, hatujawahi...
EVIDENCE IKO YOU TUBE.
Mkutano wa CCM alishika maiki akasema. MIMI SIO MJUMBE LAKINI KAMA TUNAMALIZA TUNAMALIZA TU, LEO LEO.
Mzee yule kaingia NEC mwaka wa 1982. Kwa mujibu wa yeye mwenyewe kwenye msiba wa Msuya.
Ndo vile ambavyo vikao vya CCM vinaendeshwa ?
Tunamjadili Juma. Na Juma ndo...
Hana umwamba wowote Mkapa.
Eti shahidi wa utetezi kahojiwa na wakili wa Mahalu. Direct exam. Hakuna Cross Exam. Ushaona wapi duniani?
Mkapa alikuwa anaishi New York, Columbia University, kabla mimi sijazaliwa. Kwa nini hawaku observe mambo yanavyokwenda wayalete Africa waimarishe utawala wa...
Hivi Ulaya unaweza kukiri makosa, ukamalizana na DPP ?
Yani Magufuli, the best ever, the most serious tough-on-crime leader we have ever had na yeye anaamini jambazi kaa nae chini myamalize. Na akatamka "ni bora tuwatoe jela, watafute pesa, mabiashara yaendelee, tupate na kodi." Wakikaa...
We don't care kama kesi ya ngedere kapewa primate mwenzie.
Nataka kuona ukora wa Kikwete unajadiliwa mahakamani. Hivyo tu.
Kikwete aone aibu kwamba Mwenyekiti na kada aliyekuwemo NEC na Central Committe toka 1982 huko, umeshindwa kubuni wizi mlaini usiosababisha makesi na ma controversy. Kama...
Hajasema sheria za chama zifuatwe, kasema desturi za chama.
Yeye haamini katika sheria za chama (KATIBA).
Ndo maana kasema kidesturi kuna watu hawaruhusi na CCM kupanda kuwa Rais, yani Spika, PM, na VP.
Lakini katiba ya CCM inasema mwanachama yeyote anaweza kugombea chochote.
Balozi...
JAMIIFORUMS ADMINS
Tafadhali ondoeni prefix ya GE 2025 (UCHAGUZI) kwenye kila mada muhimu, hususan za. utekaji na mauaji.
Sio kila kitu kinahusiana na mwaka wa uchaguzi.
Mnalifanya kama ni tatizo dogo la mpito.
Crisis ya utekaji na mauaji ipo miaka mingi, lakini ilishamiri awamu ya tano...
Hapo bado
Waliofeli Form 2
Waliofeli Form 4
Waliofeli Form 6
Na waliopata degree wakiwa full time Waziri tena wizara nyeti ya Fedha. Hiyo degree umeisoma, umenunua ?????
Sio alionekana anatabasamu...
Alikuwa anatoa comment kabisa wakimaliza kutema nyongo , anasema hiyo imekaa vizuri, ni jambo la msingi...
Si ni kale ka dada ka Kipemba sijui Kaarabu,, ka naibu spika type....
Zungu yeye alikuwa anawaongezea muda huku analeta utani wa Simba na Yanga kwamba Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.