Habar zenu Wana jamvi niende moja kwa moja kwenye mada husika nmekua nikifatilia inshu ya NIDA. Toka mwaka jana hadi leo hii lkn sijafanikiwa jambo langu.
Kwenye kitambulisho changu cha NIDA kuna jina lilikosewa niliwafata nida wakanipa utaratibu jinsi ya kufanya ili warekebishe jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.