Mimi nachezeshea home.. sehemu sio nzuri sijataka kuchukua fremu.. na hawajazoea.. siku zingine unapata 8 mara 20 mara 15 hvyohvyo ila hawajapajua kabisa yaaani
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Nimeanza hii biashara ni wiki sasa, mwitikio bado sio mzuri nina Ps 4 moja tu na kahisense kangu inch 32.. siku ya kwanza nilipata 10,500 na siku ya pili nkapata 20,000... baada ya hapo ni 8,000 mara 10,000 mara 7,000 ila maisha yanaenda.
Nimenunua PS 4 na TV. Pia imebidi kujenga chumba kimoja...
Mzee wangu kama ulifanikiwa kununua Mashamba miaka hiyo sasa hivi wewe ni Milionea maana Kibaha kumekucha haswa hayo maeneo ya Kwa Mathias, Mkoani, Filibert Bay/Mkuza, Sofu, Picha ya ndege, Gill(Pangani), Lulanzi.
Sasa kama tatizo ni hilo la kutokuwa na abiria si mambo yatakuwa yaleyale hata yakianzia Njuweni - Sofu?
Ilitakiwa iwe hivi, gari iite Kibaha> Njuweni> Picha ya ndege>Sofu alafu ikifika Njuweni itapakia wengine wa Sofu, ikifika Loliondo hvyohvyo na ikifika Picha ya ndege itaendelea kupakia...
Kuna magari mengi sana ya Mbezi - Mwanalugali, Mbezi Boko Mnemela na sasa Mbezi Sofu yamesajiriwa kupeleka abiria huko lakini yanaishia Njuweni - Kibaha hii ni kikwazo kwa wakazi wa maeneo hayo maana gari zipo lakini hakuna hata moja inayoenda huko.
Sasa hii ruti mpya ya sofu magari ni mengi...
Mimi nilinunua Sofu pale mbele ya kanisa la Rc na mbele kidogo ya ile nyumba nzuri iliyopo barabarani kabisa yenye mataataa.. nlinunua Sq 1,600 kwa mil 7 kipo Mita 200 kutoka barabarani na ni KM 5.5 kutoka Morogoro road. Kampuni ilipima ikaweka mitaa vizuri kabisa. Ila sasa nilikuwa nataka...
Vumbi ni kali sana japo naona sasa hivi limepungua kidogo, kama wanaiweka rami itakuwa jambo jema na itabust maendeleo ya Sofu.
Na pia mimi si mwenyeji sana Kibaha. Kwa Kibaha TC ni maeneo gani mazuri sana na ushuani? Maana kila Wilaya au mkoa kuna sehemu huwa kunaziangalia kama ushuani kwa...
Hio barabara ya Sofu imewekwa hvyo vibao pale mwanzo (picha ya ndege) na kule mwisho (njia ya kwenda Mnemela) je inataka kuwekwa rami au nini kinaendelea? Na mbona Tarura wanaichonga mara kwa mara kuliko barabara zingine ndani ya Kibaha TC?
Kwanza Download y-tube player (floating for youtube)ytube alafu fata hizi hatua
Step 1: Open the Video that you like to play on Floating Window in 'YouTube App'.
Step 2: Tap on 'Share' link, and then select the 'Y-Tube Player'.
Step 3: Tap on Popup player, and then select your choice like...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.