Picha ninazo na watu wengi wanazo ila humu haifai ni noma Kwa sasa kwa sheria ya juzi.. Ila zilitembea whatsap magroup ya kutosha.. Cha muhimu ni ushauri kwa sasa
Kuna mtumishi mmoja wa idara moja hapa mbulu ameolewa na mume wake yuko Arusha mjini. Kwa ufupi ni malaya kupindukia hadi sisi watumishi wenzake tunaona aibu kwa anachokifanya kutokana na tabia yake ya umalaya na ulevi kupindukia.
Katika kutembea na wanaume mbalimbali akaangukia kwenye mikono...
Nina Mtoto mwenye umri wa miaka 10 kasoro. Anaota Yale meno kiswahili tunaita magego but yamemfanya augue kabisa hata kula hataki akimeza chakula koo linamuuma. Nilimpeleka Hosp tukapewa dawa anatumia mpaka sasa but nafuu bado..ni kweli ni jino tu au kuna tatizo lingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.