Recent content by escrow one

  1. escrow one

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Hii nchi Kuna TCRA, BOT na POLISI. Malalamiko yote haya Lakini hakuna kilichofanyika hadi sasa. Basi yawezekana kuna Kigogo anahusika na huu MRADI
  2. escrow one

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Yale hayakuwa maandamano, zilikuwa vurugu

    Jaji Chande akiendelea na uchunguzi basi apewe kesi ya uhaini na uhujumu uchumi.
  3. escrow one

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Serikali hii si ya kuamrishwa wala kupewa maelekezo

    Utasema sio yeye aliyekuwa anashinda angani kuomba omba mikopo kwa hao hao.
  4. escrow one

    JamiiForums Tanzania Summary ya leo: Nimewaua na hamna cha kunifanya!

    Taifa limechambwa leo hadi limechambika
  5. escrow one

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi anaandaliwa kumrithi Rais Samia

    Maktaba ya JF
  6. escrow one

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Na historia itapindishwa, utasikia Mzee Mwinyi alizaliwa na kukulia Zanzibar
  7. escrow one

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Wamemkosea sana. Kwani Mkuranga hakuna Wazee? Mbona wanazidiwa nguvu na Wazee wa Zanziberi
  8. escrow one

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Wanapokezana kazi ya kutangaza Misiba tu
  9. escrow one

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Kumtengenezea Hussein Mazingira mazuri ya kisiasa. Angezikwa Mkuranga Hussein angekua na hali ngumu mwakani
  10. escrow one

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Wamejua kumuaibisha leo
  11. escrow one

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Zilikuwa zimeshaandaliwa. Ni mwendo wa kuziachia tu
  12. escrow one

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Ndio. Mgogoro ulikuwa mkubwa sana
  13. escrow one

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Wamepiga hesabu vibaya. Bora wangesubiri kesho
Back
Top Bottom