kuna laptop ni dell inspiron 8100
Ukiiwasha inaandika ''PXE-E05: The LAN adapter's configuration is corrupted or has not been initialized. The boot Agent cannot continue, mda mwingne haiandiki after displaying the dell logo...bac the cursor keeps on blinking bila chochote kuendelea, mda mwingne...
Ernest unachanganya, xo we uko upande gan? Coz kila sehem upo, so kumbe hata ile haina uthibitisho wowote coz ww n phone dr. Na sio dr. Kama nliyemfikiria mm, sio?
i can try 2 ma best level about this
Sembe kinachoifanya isiwe nzuri ni kwamba..kwenye muhindi vitu vyenye virutubisho ni ganda na kiin basi, but sembe imekobolewa na ukikoboa mahindi unaondoa vitu hvyo yaan, kiin na ganda, unabaki na makapi...so yale makapi unapoyala yanaweza kukuletea hata...
nilikua nawasalimu wandgu humu ndani,,,coz nilijiounga humu ndani tangu june mwaka jana...but sikua active n pass word yangu nilikua nimesahau...but nw am available....thanx all wana member plus admin
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.