Recent content by eRRy

  1. eRRy

    Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

    Hao siyo watoto wa Paul Kagame kama inavyoaminiwa. Ni watu wazima tu. Na ni mfanano wa majina tu 🤷🏾‍♂️
  2. eRRy

    Wote tunaowapenda wake zetu tukutane hapa

    Rudi baada ya miaka 5 utupe mrejesho!
  3. eRRy

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nakumbuka niko zangu home, demu ananitext,”mambo” nikajibu “Poa!” Baada ya hapo text zikawa nyingi, mara “ I am hungry “! Nikaagiza chakula si huyooooo akaja kuchukuwa, baadaye akaamuwa kulia chakula hicho kwangu, huku tukiendelea kupiga story, Baadaye akauliza kama nina wine, bahati nzuri huwa...
  4. eRRy

    Ufaransa yatangaza kuwaondoa Balozi na Wanajeshi wake kutoka Niger

    Safi sana, France must exit from the whole African continent. They have looted enough
  5. eRRy

    Rais wa Madagascar ajiuzulu kuelekea kwenye uchaguzi wa Novemba 2023

    Mlitaka Dunia nzima ielekee Madagascar vadala ya kuwalilia Big Pharma? Ndiyo maana tunadharau dawa zetu ba kukumbatia dawa za kigeni wakati hata wao hutumia mizizi, majani ba magone ya miti kutengenezea dawa hizo. Lolz
  6. eRRy

    Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

    Mwanzo 1:1 “ Siku ya kwanza!”
  7. eRRy

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    2007 Bongo- Nairobi-London-New York-Dallas-Nebraska one way. hadi nilichoka mwenyewe! Duh
  8. eRRy

    TANZIA Mwanasiasa na Meya wa zamani wa jiji la Cincinnati, Ohio, Jerry Springer afariki Dunia

    Mwana siasa na Meya wa zamani wa jiji la Cincinnati, Ohio Gerald Norman Springer aliyejizolea umaarufu kupitia kipindi chake cha Jerry Springer, amefariki dunia. Jerry Springer ni mwenyeji wa televisheni maarufu wa Marekani na mwanasiasa wa zamani ambaye alizaliwa mnamo Februari 13, 1944...
  9. eRRy

    Burundi yathibitisha kumkamata aliyekuwa Waziri Mkuu wake

    Jamaa anashutumiwa kuwa fisadi na kutaka kumpindua Mzee.
  10. eRRy

    Una jambo ambalo hutolisahau kwenye kufanya mapenzi?

    Ni miaka 13 sasa, alikiwa girlfriend enzi hizo. Nikawa nagonga huku nimevaa ndomu.(maana tulikuwa tunafanyia kwake, na ndomu natupa kwenye dustbin) siku moja nikamkuta ananyonya sperms kwa kutumia syringe, nikashtuka. Kumuuliza akadai yeye anahitaji mtoto wakati mimi sikuwa hata na wazo...
  11. eRRy

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mvua ya makombora na kuua 11? [emoji848]
  12. eRRy

    Share your current internet Speed

    Wi-Fi nyumbani. Cox communications
  13. eRRy

    Mwanamke wa Burundi ajifungua watoto sita

    Johari Mugisha, amejifungua watoto sita nchini Burundi leo baada ya kufanyiwa upasuaji(c-section). Watatu wa kiume na watatu wa kike. Wote mama na watoto wanaendelea vizuri. Ijumaa iliyopita Waziri Mkuu wa Burundi Gervais Ndirakobuca alimtembelea Johari na kumkabidhi millioni tano(5,000,000.00...
  14. eRRy

    Tetesi za Mapinduzi zaikumba tena Burundi

    Imetimia: waziri Mkuu wa Burundi General Alain Guillaume Bunyoni aondolewa! [emoji1060]
Back
Top Bottom