hawa ni watu ambao daima we will tell their STORY picha linaaanza DR. Salim ni muumini msocialist wa ngazi ya juu sana na amefanya kazi kipini ambacho anafanya kazi kama ambasador mdogo zaid kuwahi kutokea akiwa na umri wa miaka 21 imagin tayari mwalim nyerere kamteua kuwa ambasador wa tanzania...
Huyo mtu ana CV nzito sana. Picha linaanza ndio balozi mdogo ambae hajawahi kutokea East, West and Southern African Countries (Akiwa na Umri wa Miaka 21 alikua balozi wa Tanzania nchini Misri).
Darasani hajawahi kuijua Number 2, mwanzo mwisho ni kuburuza Number 1. A gifted mind.
Nlisikitika...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.