Recent content by ERNEST TZ

  1. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Radiology itakumaliza nakushauri Fanya uombe kozi nyingine hata pharmacy mzeye ..iyo kozi kuna vitu vinaitwa X-RAYS,GAMMA RAYS,hiyo mionzi ni hatari ndugu unakufa mdomdo
  2. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    Je mtu aliyesoma private Mara mbili AF mchepuo PCB anaweza pata ata boom?msaada
  3. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; je nikiomba shule mwakani naweza pata nafasi kwa shule za serikali?

    Na je MTU ambaye amesoma O LEVEL PRIV.na A LEVEL PRiv anaweza kuja kupewa mkopo pindi atapo maliza form six kwa matokeo mazur ,,,,mchepuo PCB
  4. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; je nikiomba shule mwakani naweza pata nafasi kwa shule za serikali?

    Nilichaguliwa first selection ya form 5 mchepuo wa PCB Mwaka huu, lakini nikaumwa sana sikuweza kwenda hivi naongea nipo nyumbani tu, swali langu je nikiomba shule mwakani naweza pata nafasi kwa shule za serikali? Na pia naogopa kwenda shule ya advance private kwamba naweza kukosa mkopo pindi...
  5. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kwenda kuchukua mchepuo wa PCB Panda Hill Mbeya

    Unataarifa zozote kuhusu ada yao mkuu
  6. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kwenda kuchukua mchepuo wa PCB Panda Hill Mbeya

    Ndoto nikusoma medicine badae mkuu
  7. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kwenda kuchukua mchepuo wa PCB Panda Hill Mbeya

    Nataka kwenda kuchukua mchepuo wa PCB PANDAHILL mbeya.kwa maoni nakaribisha
  8. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu hajapata chuo hadi sasa, inawezakana kutafuta chuo cha diploma?

    Apo sijajua maana hata ualimu now wanitaji uwe na D Mbili
  9. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu hajapata chuo hadi sasa, inawezakana kutafuta chuo cha diploma?

    Kwani aliomba coz gani upande wa degree?
  10. ERNEST TZ

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private kwa advance

    Dahh iyoiyo naenda yani tena fasta tu mwakani apo PCB
Back
Top Bottom