Nyalandu kwa elimu uliyonayo na kwa kuwa umeishi sana nje ya nchi na kwa uzoefu uliopata kwa kuwa Naibu waziri wa utalii nilitarajia mabadiliko makubwa sana kwenye hii wizara.
Utakumbuka miaka miwili iliyopita tulihamasishwa sana kupigia kura vivutio vitatu ambavyo ni Mlima Kilimanjaro...
Hivi huyu mjomba mbona hataki kuondoka? Uchaguzi ndani ya chama umeisha na hajapata nafasi yoyote lakini hataki kuondoka anang'ang'ania kama kupe. Tulishakufukuza ondoka ukajenge ACT yako pamoja na CCM. Kama ni pesa za kinywa mgongo siatapewa na bwana zake wapya wa CCM?
Wasaliti wote...
This is ----ing comment. Tz tunazidi kuwa maskini kwasababu moja kubwa, wasomi wanaacha taaluma zao na kukimbilia kwenye siasa, na hili limesababishwa na serekali ya CCM kwa wanasiasa kujilipa pesa nyingi huku wasomi wakilipwa kiduchu ndio maana kila mtu anatamani siasa. Ifike mahali wanataaluma...
We mleta mada inavyo onekana ulishirikiana na waziri kuandaa hii taarifa kabla haijasomwa bungeni. Ndio maana kabla hata ys dk 5 baada ya kusomwa ulishaipost. Lakini ujinga wako ulishindwa hata ku edit
Ungeza mistari kwenye hii hipop
Kama Nyerere angekwepo ufisadi usingekuepo
Kama Nyerere angekuepo viwanda vingekuepo
Safari nyingi za ulaya zisingekuepo kama angekuepo
Udini na ukabila usingekuepo
Wachumia tumbo wasingekuepo
Mzee wa Richmond angekua selo kama angekuepo
Ooi ooi oooiiii
Kwa akili fupi na finyu hawa Maintarahamwe MACCM kama anavyoyaita Kamandangu Lissu wanadhani adui yao mkubwa ni CHADEMA ama UKAWA, nasema hapana.
Adui yenu ni nyie wenyewe kwa kuendelea kuiba fedha za Uma mamilioni kwa mabilioni, bila kuona hata aliyewekwa selo. Adui yenu ni Mwenye Nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.