Recent content by ericly

  1. E

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Hao alliance wapuuzi tu rafiki yangu alijiunga ananiambia hakuna faida aliopata huko
  2. E

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Kama hiyo alliance sijui niliudhulia mikutano yao pale makumbusho watu hawafanyi kazi wako business na hayo makampuni wengine wameacha kazi zao wengine wanafunzi wameacha masomo eti wapo full time alliance niliwashangaa sana aisee
  3. E

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    colin_morgan Yaani hayo makapuni siku hizi kila kona yapo aisee utapeli tu umejaa kazi kunufaisha mataifa ya wenzetu halafu sasa watu wanajiunga kwa bei kubwa mnoo kwanzia laki tano mpaka mamilioni ya pesa huko halafu mpaka uje kuona faida yake ufanye kazi kama mtumwa
  4. E

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Khaaa 😂😂😂😂 umenifurahisha sana saa million 5 wakati hata kiwanja huna si umasikini huu
  5. E

    JamiiForums Tanzania BA. in Economics and Sociology

    vile wale wa economics and statistics ??
  6. E

    JamiiForums Tanzania BA. in Economics and Sociology

    Yaah ni kweli ajira zimekuwa shida kidogo ila nikupambana kupata GPA za maana G P
  7. E

    JamiiForums Tanzania BA. in Economics and Sociology

    La
  8. E

    JamiiForums Tanzania BA. in Economics and Sociology

    Duhh mimi nasoma hii kozi kwahiyo kazi hakuna kabisa maana uchumi tunapiga kama kawaida na watu wa BA economics
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu punyeto/kujichua

    kwa kweli hata mimi huwa nafanya ila puchu ina madhara makubwa napata maumivu makali sana kwenye miguu nikitembea kwa muda mrefu ila kwa sasa ninamiezi mitatu nimepunguza naona unafuu. Mwenyezi Mungu atusaidie tuache kabisa
  10. E

    JamiiForums Tanzania Startimes waja na kifurushi cha buku

    Ni bora mtu uweke hizo buku mpaka elfu kumi na mbili ukalipie cha mwezi khaaa sijaona faida ya hicho kifurushi cha buku
  11. E

    JamiiForums Tanzania Startimes waja na kifurushi cha buku

  12. E

    JamiiForums Tanzania Bongo watoto wa nnje yandoa ni wengi

    Kwasababu gharama za maisha zipo juu sana
  13. E

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nina ushauri kuna SMS nililetewa kutoka startimes ilikuwa inasema unaweza klipia king,amuzi kwa siku 1000 shilling au kwa mwezi elfu kumi na mbili vipi kuhusu kile kifurushi cha wiki mbili ambacho kilikuwa ndo at least
  14. E

    JamiiForums Tanzania Muda wa mwisho wa kuwasilisha maombi ya mikopo sasa ni Septemba 11 badala ya Septemba 4

    Samahani mimi fomu yangu tayari nimeahatuma ila nimebakiwa na copy yake na bado ninayo halafu sijakamilisha maombi kwa njia ya mtandao sasa ninaweza kupeleka hiyo copy kwa ajili ya scanning au??
Back
Top Bottom