Recent content by erickrobert1

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Ni kwanini kuoana ndugu kunakatazwa? Sababu kubwa ni kwamba kuna magonjwa ya kurithi, kwaiyo mkioana ndugu ni rahisi watoto kuzaliwa na hayo magonjwa kwakua 'gene' za wazazi zinakua zinafanana kwa kiasi kikubwa. Magonjwa kama albinism, sickle cell, pumu n.k. Kwa waliosoma biology (genetics)...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

    Pia ni wazee wa fujo sana, ukizingua kule kupigwa shaba sio jambo la kushangaza, Pia kuna kipindi kulikua na vikundi vya mtaani kama manguruweni ukizinguana na mmoja wapo anaenda kukuitia wenzake wanakupa kipigo. Pia akimtokea demu akamchomolea, anakuja na wenzake wanamchukua kwa nguvu wanaenda...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

    Hiki ndicho kilinishangaza, hadi vitoto vya shule ya msingi wanavaa sketi za shule zinazoacha mapaja wazi
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    26 ni katoto!!😳
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

    Watu bwana, mtu yupo radhi aue mwenzake/afanye uzinzi/matusi kwa sana/Pombe kwa sana ila kitimoto atakuambia sili hata kwa bunduki. Kwamba kula kitimoto ni dhambi isiyosameheka ama? Hizi dini tuzifuate lakini zisitufunge akili pia. Wazee kama ukila hufi na wala haikuletei madhara kiafya kula tu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi na watu wanaowaambia mama zao kila kitu kuhusu wenza walionao?

    Huenda kila kitu anategemea kwa mama
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Hiki kitu kinafanyika kwa baadhi ya nchi, ila kwa huku kwetu nadhani itakua ni vigumu sana
Back
Top Bottom