Recent content by erickmichael

  1. E

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    Kitengo mawasiliano mjengoni(Gerson Msigwa ) ,miezi kumi mingi utamuona analipoti ziara Mzee. Channel watu wanafata cyo hera
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Cyo siri nimeshangaa kidogo,gereza gani Lina mlango wa nyuma.Magereza mengi yanamlango mmoja mkubwa tu .la upande wa kike Na wakiume
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuzuia fao la kujitoa ni kitendo cha ukatili

    Sioni sababu ya kumshambulia mtoa mada wakati fao la kujitoa ni tatizo kubwa sana kwetu vijana.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba atolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa kujifanya mwandishi kumbe siyo mwandishi wa habari

    Ahaaaa haaaa kuzabuliwa usoni Mkuu, au nikinyume cha Sheria?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba atolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa kujifanya mwandishi kumbe siyo mwandishi wa habari

    Hajipigwa makofi?,au Sheria haziluhusu duuuu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Nafikiri haitaji mchango wako bro,leave him alone
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nawajibu walioniuliza hapa Arusha, hapana chezea Mawakili!

    Mtalia sana safari hii,mshazoea uzulumaji ,kupandikiza watu wenu,mawazo yenu sasa chama kimekuwa kichungu .soon mtaomba kifutwe ndiyo mjue hamupendwi mnalazimisha tu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

    Toka Tundu Lissu agombee urais TLS kila mtu anafatilia chama hiki,mwanzo waliokuwa wanafatilia Na kukijua chama cha mawakili walikuwa mawakili wenyewe na watanzania wachache ,lakini Leo hii hata kijini TLS inafahamika.kuna watu wanakubalika nchini
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yaani copy right haihitaji DNA ,damu ina nguvu sana

    Wanao mjua huyo Dada, sasa wewe mwenzangu na mimi tuwe kimya kwasababu hatuna data zozote,no research no right to speak.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Yaani copy right haihitaji DNA ,damu ina nguvu sana

    ANAANDIKA MDAU WILAYA YA KIGAMBONI HUYO DADA ANAYEDAI NI MTOTO WA MH, LOWASA NI MPUUZI JINA LAKE HALISI ANAITWA FATUMA SELEMANI CHIKAWE, AMEKULIA MAGOMENI KWA MUDA WOTE ALIKUA ANAISHI GETO HAPO MAGOMENI, KWASASA ANAISHI MTAA WA UNGINDONI KATA YA MJIMWEMA WILAYA YA KIGAMBONI,KABLA HAJAOLEWA NA...
  11. E

    JamiiForums Tanzania RC Makonda anamlenga nani katika zoezi la watoto waliotelekezwa?

    Ahsante kwa kuwa mwelewa Mkuu,Mimi sikukuitaji kabisa, huruma ya Mama yako ndiyo ilikusaidia.
  12. E

    JamiiForums Tanzania RC Makonda anamlenga nani katika zoezi la watoto waliotelekezwa?

    Nashukulu umenielewa ndiyo maana upo hai sasa,mshukuru Mama yako Mkuu Mimi sikukuitaji ujue ndiyo maana mkoani sijapata barua.
  13. E

    JamiiForums Tanzania RC Makonda anamlenga nani katika zoezi la watoto waliotelekezwa?

    Mimba ngapi wewe umetoa mpaka sasa,acha kunyoshea watu vidole kama wewe malaika kumbe huna lolote.
  14. E

    JamiiForums Tanzania RC Makonda anamlenga nani katika zoezi la watoto waliotelekezwa?

    Ahaaaa haaaa kuzaa na mtu shida ipo wapi hapo,Duuuu tukitaka kunyosheana vidole serious tutachafuana ,tuna wabunge viti maalumu kibao sana serikali ya awamu 4 ,wadada waatumishi wa uma kibao wamepata nafasi kisa kuzalishwa na kiongozi mkubwa juu. Wewe mwenyewe muandikaji hii post umeua watoto...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    Mutaweweseka sana safari hii,huwezi kulazimisha zero ikawa tatu[emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom