Recent content by Erickfordiv

  1. E

    JamiiForums Tanzania Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    😕 kazi ipo kulikomboa Taifa hili!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM

    Itakuwa ni katiba Yako mwenyewe na bunge lako la kichwani!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kwa huyu mzee wa hapa kazi tu... Haangalii umempigiaje kampeni yeye atatafuta waziri mkuu ambaye hata hamtamzania... Hongera Magufuli HAPA KAZI TU
  4. E

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo rorya Mara njoo nije Moro, Kilm au Pwani lengo ni kuwa karibu na familia ipo Tanga.. (Sekondari ajira mpya) 0653785778
  5. E

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Rorya Musoma nije Moro, Arusha, Kilimanjaro au Tanga - Sekondari
  6. E

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Rorya Musoma nije Moro, Kilimanjaro, Arusha au Tanga - Idara ya Sekondary
  7. E

    JamiiForums Tanzania Walimu waliosapua 2014 waombwa kuandika barua za ajira?

    Nilijaribu kulifuatilia hilo suala nikaambiwa ni sio kweli ajira ni kwa wote waliosapua na fresh from college Thats all:wink1:
Back
Top Bottom